Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

mkuu unachukua event moja na kuleta conclusion, sio kwamba pesa itakuepushia matatizo bali itakupa aina nyingine ya matatizo...
Wewe umechagua kipi kati ya hayo mawili mkuu
 
Kwani watu wote waliofika 40 wametoka?
 
Waambie hao mademu ndio watafute hela, Sisi tunataka kugonga tu wao wanataka kutuweka kwenye future plan zao.
 
Mpaka akupe gari sehem za Siri lazma ziumie
 
Njaa ya Bongo hata kama mzee wa miaka 60 anakula vitoto vya 2000
 
Una matatizo ya kiakili sana
 
Mleta mada , Kwan hapo ulipo wewe una shi ngapi benki ili tuwe inspired na wewe tuongeze juhudi za kutafuta?
 
Yaan utafute hela ili michepuko ikugombanie? Hivi akili ya mtu mweusi ikoje 😁
Kama nakuona unavyotamani wewe ndo ungekuwa mchepuko 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…