Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Hakuna bwana, watu wamekuwa wa hovyo hovyo tu! Utaachaje maziwa sasa!?
Narudia tena hwezi kuacha kunywa maziwa unachotakiwa ni kuzingatia mlo kamili (balanced diet) kunywa kwa kiasi huku ukizingatia uwiano vyakula unavyokula ili kuupa mwili uwezo wa kuchakata na kutoa sumu na taka mwili kwa ufanisi badala ya kula na kuudhofisha mwili. Na unapoacha unatengeneza tetaizo jingine kwani unatengenza upungufu wa hicho ulichoacha. Mathalani ukiacha chumvi lazima unajenga mazingira ya kukosa iodine kwenye mwili goiter inakuita chaap.
 
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.

Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.

Kuna kitu hakipo sawa.
Mifugo wa zamani walikuwa wa asili, hivyo walaji walitumia nyama, maziwa, mayai.. ya asili.
Mifugo wa sasa kama ng'ombe, kitimoto, kuku, nk, wanalishwa madawa kama (au kuzidi) watu. Hapo unategemea nini kama unakula hivyo vitu kwa wingi?!

Na pia ni hivyo hivyo kwa mboga na matunda, hasa yanayolimwa kisasa
 
Kwenye Sex kavu kavu hapo, mtuache kwan.
Wengine kutumia ndomu ni kosa LA jinai.
 
Mifugo wa zamani walikuwa wa asili, hivyo walaji walitumia nyama, maziwa, mayai.. ya asili.
Mifugo wa sasa kama ng'ombe, kitimoto, kuku, nk, wanalishwa madawa kama (au kuzidi) watu. Hapo unategemea nini kama unakula hivyo vitu kwa wingi?!
Tupige kelele ya kurudisha vitu vya asili sio kelele kuwa tuache kula. Mbona tunapenda kutatua tatizo lisilokuwepo? Tatizo hapa sio kunywa maziwa, maziwa ni chakula chetu.
 
Huo ushauri ni kwa ajili ya watu wachache hasa mijini. Wananchi wengi hata milo mitatu kwa siku kumudu ni shida. Wanaoweza kumudu kunywa maziwa mengi na nyama ni wachache mno. Kimsingi wananchi wengi tunakula tu kuzuia msiba. Nimeona watu wanapika ngozi kama nyama. Hali ni mbaya.
 
We waache wanajifanya hawaelewi
 
Mbona wazungu wanakula sana junk foods, vyakula vya kwenye makopo na Supermarket lakini ndio wana life expectancy kubwa na Akili kubwa za kiuvumbuzi.

Waafrika pamoja na kula vyakula vingi vya Asili, Bado life expectancy yetu ni ndogo,
Bado tunashindwa kuvumbua vitu mbalimbali vya kisayansi na teknolojia?
 
Ndio maana mzungu anaathirika na cancer zaidi ya muafrika.

Magonjwa pia hutegema dna, genes na race.
 
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.

Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.

Kuna kitu hakipo sawa.
Hao walikuwa wazee wenu


Rudi kwenye maisha ya Sasa hivi


Vijana wengi Sasa hivi wanakufa Kwa matatizo ya Figo, Ini.


Watu wanakunywa pombe hovyo!




Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Nina mwaka wa 10+ sili aina yoyote ya sukari, vinywaji vyote vya sukari Siri. Asubuhi Huwa nakunywa maji ya uvuguvugu ya limao 1 na tangawizi bila sukari Kila siku maisha yangu yote.


Ugali na wali Huwa nakaa hata miezi 6 bila kula. Wanga nimepunguza Kwa asilimia zaidi ya 96. Kwa kifupi Mimi na wanga hatupatan!


Pombe situmii! Kabisa!


Ninaweza kukaa hata mwaka siumwi Wala kujisikia shida yoyote mwilini. Nalala vizuri na kuamka vizuri!


Ninafanya OMAD ( one meal a day) kama nilivyojifunza kutoka kwa Dr Eric Berg ( Nenda YouTube utajifunza zaidi namna ya kula na sio kulakula)


Inashangaza Sasa hivi Kila mtu ana kitambi. Binti mzuri ila kitambi. Vijana wadogo vitambi. Guys tujipende kuwa na mavitambi ni kutojipenda na dalili za ulafi.

Mtu unakuwa mnene na unalala ovyo iwe ofisini hata kanisani na unaendelea kula hovyo bila kuchukua hatua.






Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza fuatilia stroke inatokana na nini ?

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…