Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajiepusha na hayo yote alafu anatokea dereva boda boda aliyekunywa double kick anakufyeka wakati ukivuka barabara kwenye zebra.
Narudia tena hwezi kuacha kunywa maziwa unachotakiwa ni kuzingatia mlo kamili (balanced diet) kunywa kwa kiasi huku ukizingatia uwiano vyakula unavyokula ili kuupa mwili uwezo wa kuchakata na kutoa sumu na taka mwili kwa ufanisi badala ya kula na kuudhofisha mwili. Na unapoacha unatengeneza tetaizo jingine kwani unatengenza upungufu wa hicho ulichoacha. Mathalani ukiacha chumvi lazima unajenga mazingira ya kukosa iodine kwenye mwili goiter inakuita chaap.Hakuna bwana, watu wamekuwa wa hovyo hovyo tu! Utaachaje maziwa sasa!?
Jibu Mujarabu kuna watu shule walienda kukua na sio kusoma na kupata maarifaAcha ujinga basi kama fala fala hivi
Kwa hio kwa mfano ukinywa maziwa mara mbili au tatu kwa wiki kikombe kimoja ni sawa anaekunywa kila siku mara mbili.
Unamuombaje Mungu kama huishi maisha safi? Mbona mnapenda kumchezea Mungu?Solution ni kufanya mazoezi na kumuomba Mungu akuepushie mbali na maradhi
Change begins within your mindset.Ya 2, 3 na 4 ngumu sana asee,
Sema tu tujitahid mazoez ht mara 2 kwa wk na lishe bora tu, ila kuacha kupeleka moto na watt walivo wazuri ivi ngum sanaa[emoji38][emoji38]
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Mifugo wa zamani walikuwa wa asili, hivyo walaji walitumia nyama, maziwa, mayai.. ya asili.Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.
Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.
Kuna kitu hakipo sawa.
Tupige kelele ya kurudisha vitu vya asili sio kelele kuwa tuache kula. Mbona tunapenda kutatua tatizo lisilokuwepo? Tatizo hapa sio kunywa maziwa, maziwa ni chakula chetu.Mifugo wa zamani walikuwa wa asili, hivyo walaji walitumia nyama, maziwa, mayai.. ya asili.
Mifugo wa sasa kama ng'ombe, kitimoto, kuku, nk, wanalishwa madawa kama (au kuzidi) watu. Hapo unategemea nini kama unakula hivyo vitu kwa wingi?!
We waache wanajifanya hawaelewiMifugo wa zamani walikuwa wa asili, hivyo walaji walitumia nyama, maziwa, mayai.. ya asili.
Mifugo wa sasa kama ng'ombe, kitimoto, kuku, nk, wanalishwa madawa kama (au kuzidi) watu. Hapo unategemea nini kama unakula hivyo vitu kwa wingi?!
Na pia ni hivyo hivyo kwa mboga na matunda, hasa yanayolimwa kisasa
Ndio maana mzungu anaathirika na cancer zaidi ya muafrika.Mbona wazungu wanakula sana junk foods, vyakula vya kwenye makopo na Supermarket lakini ndio wana life expectancy kubwa na Akili kubwa za kiuvumbuzi.
Waafrika pamoja na kula vyakula vingi vya Asili, Bado life expectancy yetu ni ndogo,
Bado tunashindwa kuvumbua vitu mbalimbali vya kisayansi na teknolojia?
Hao walikuwa wazee wenuUsinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.
Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.
Kuna kitu hakipo sawa.
Udugu unapenda utamu sana eheee??Kwenye Sex kavu kavu hapo, mtuache kwan.
Wengine kutumia ndomu ni kosa LA jinai.
Nina mwaka wa 10+ sili aina yoyote ya sukari, vinywaji vyote vya sukari Siri. Asubuhi Huwa nakunywa maji ya uvuguvugu ya limao 1 na tangawizi bila sukari Kila siku maisha yangu yote.Naam hilo ni muhimu sana, kwa sbabu kila chakula kinahitajika mwilini kwa kaisi chake ndio maana kuna balanced diet au mlo kamili. Kuacha aina flani ya vyakula kwa kudhani kwamba vinaleta athari za magonjwa kwenye mwili ni kutengeneza tatizo jingine ambalo ni kubwa kuliko unalojitahidi kuzuia. Kwanini kula nyama choma na bia kila siku? tena kwa kiwango kikubwa? kula mlo kamili kwa kuzingatia uwiano hii itasaidia kubalance na kuupa mwili nafasi ya kuchakata na kutoa kile ambacho hakihitajiki kwa mifumo yake. Mfano mtu ambaye anakunywa beer 20 kwa kikao kimoja kila siku jioni, kitimoto, na aweke KVANT Ndogo au nyagi kuboost, halafu asubuhi aamke na mning'inio apige soup na chapati mbili aende ofisini akae kwenye key board na kiyoyozi kama mimi hawezi kuwa sawa kiafya kama mtu anayekunywa bia nne wikend na nyama siku ya jumapili tu"
baadae tunajidanganya Tajiri akila dagaa ni diet ila maskini akila dagaa ni njaa, na tajiri akitembea ni mazoezi na maskini akitembea hyana nauli. we need to habe a comprehensive change of mindset behaviour and habit kwa ujumla katika kila nyanja ikiwemo kuwajali wenzetu. How comes unawapa kuku dawa za binadamu? how comes unachoma mnyama sindano leo halafu kesho unamchinja? how comes unampa nguruwe ARVS? How comes unapiga mboga mboga viwatilifu halafu baada ya siku mbili unavuna kisa umepewa tenda ya ghafla?
Kwanza fuatilia stroke inatokana na nini ?Nimeshangaa jamaa yetu amepata stroke lakini ukiwaangalia jinsi alivyo huwezi amini. Mazoezi anapiga sana ameijtahidi sana ku-mantain mwili wake kwa uzito unaotakiwa kulingana na urefu wake. Ana uzito wa jogoo lakini stroke imempiga sasa unajiuliza niache nini na nifanye nini? Kikubwa tumwombe Mungu tu atuepushe!
😭Daah nisamehewe bure