Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

Duh! Kweli we boya yani kuingiza ml 30 ndani ya miaka miwili yoote hiyo ndo unakimbilia jamii forum kujisifu?.
Upotezaji wa muda tu.
 
18M kwa mwezi umepiga jesabu za matumizi ya kila siku, mwezi hadi miezi 12?
 
Wanaofaidika na kilimo, au sekta yoyote hile,hawana majigambo kama haya,
Utaona tu matokeo, na uta appreciate,
 
Usitutukane..hiyo hela mi naingiza kwa wiki tu na nipo huku huku mjini napigwa na kipupwe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…