Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

Pretty anajua Haya😂😂
 
Fala sana huyo jamaa, simu mwaka 2001
 
Miaka hiyo ya 2003 kuna demu mtaani nilikuwa namfukuzia mitaa ya Mwanjelwa, nikaona isiwe kesi nikachukua pakti ya KUBER na kuweka chini ya ulimi ili kupata confidence ya kumpiga sound.

Ki ukweli nilishuka mistari kama nilivyomezeshwa na mabraza mpaka demu akalainika. Kimbembe kumbe naye alikuwa ananielewa kitambo sema mimi tu nilikuwa domo zege, basi si akataka nim-kiss kwenye lips ikiwezekana nimle denda. Dah! Bora tu ilipigwa marufuku.
 
Kiukweli mi harufu yake ilikuwa inanimiza kichwa nilikuwa naziuza tu dukani mi nilikuwa napenda Zed na vivodka vidogo vile unakikata unakinyonya chap
Kuber haikuwa ya kunywa yalikuwa majani majani makavu unabwia tu kama tumbaku, ujuchanganye sasa umeze! Wenye kuharisha waliharisha, kushindwa kunyenyuka, unasweat kama una TB😀😀😀 ila haikuwa rafiki ukiila una njaa
 
Nakumbuka kipindi hiko nilivuta sana Sigara za SM kama kujaribisha kama imekolea moto mana wajomba zangu wengi ni wavutaji.

Tambuu sikujaribu ila hyo kuberi Kuna siku nipo na wezangu nikiwa tumbo wazi michezo imekolea sana pale Kinondoni bwawani tuliokota pakti yake me nikanusa vzur mpk vumbi lake likaingia kidg kwenye pua.

Nadiriki kusema sitokuja kujamba kama vile tena.
Kuna rafiki yetu alilamba mda mfupi alikunya me nilijamba sana uzuri home mbali nikitoka mchana na wezangu kurudi saa 1 usiku na nilivyo fika nililala hyo kitu sio.
 
Kuna jamaa yetu aliijaribu mara kwanza alitoka jasho jingi sana,mi niliogopa sikutaman hata kujaribu
 
Nimesoma heading tuu hako kapakiti kakanijia kichwani..
 
Dahh umenikumbushaa mbali ila Bora ilifungiwaq tu ilikuwa siyo powa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…