Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

Mwaka 2002 nipo darasa la Saba kuna dogo wa darasa la sita akaja na kuber shule. Dogo akanichondolea kidogo nikabwia kama biskuti bibi nikameza mate na Yale majani kidogo nikate moto.
 
Mwaka 2002 nipo darasa la Saba kuna dogo wa darasa la sita akaja na kuber shule. Dogo akanichondolea kidogo nikabwia kama biskuti bibi nikameza mate na Yale majani kidogo nikate moto.
😃😃😃Kumbe wengi ilitaka kutuwahisha kwa sir God dah😃😃😃😃
 
hizo niliishia tu kuziona,..
Demu wangu alifumania pkt nikamdanganya ni dawa ya nguvu za kiume .. kesho yake shoga yake akaja ananieleza kuwa kaambiwa natumia dawa ya kuongeza nguvu.
Nikajua demu wangu si wife material.
 
😅😅😅😅
 
😂😂
 
wewe ulimeza mate
 
View attachment 3315466

Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
Jamaa yangu anaitwa (deo)sitokaa nimsahau jina.
Alinifinyia kwenye vidole akamiambia onja nikampokea nikaweka mdomoni asee niliona du ia kama iko hapa kicwani..
Hiyo kitu haina toafuti na shisha 😉
 
Kwa huu mwandiko naweka hata nyumba we sio Nzima.
 
Kuber hiyo sijui iliuzwa 300 akati inatoka na viroba vya Zed vikinukia flavor ya pineapple nlitoroka sana shule kuvitafuta akiiii nlikuwa sifai
Inaonyesha jinsi gani kilometa zimekata mpaka dashbody imesahau kusoma.
 
Sasa mkuu unajua kabisa vijana wa 2000 hawakuwepo au walikuwa wadogo sana, hayo mambo wangeyajua wakiwa tumboni ama wakiwa under-5yrs 😀
Zilipigwa marufuku 2008 kama kumbu kumbu zangu zipo sahihi. Ni maugoro yaliyoboreshwa!
 
Unapenda kujaribu enhe?

Nna bet kuna kitu ushawahi kujalibu!
 
Nilitumiaga mwaka 2002 wakati nipo primary nikaona njaa inauma vibaya sana. Nilipika bonge la nguna na maharage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…