Bro wangu aliniambia inaongeza sana akili kipindi tunasoma basi tukawa tunatumia wote 🤣 nipo freshi lakiniView attachment 3315466
Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
😆We Jamaa ni fala sana, cowbell si ni ya blue 😂😂
Ko huikumbuki cowbell mwanetu?
Hutaki au?Maziwa tena
Wewe nishasahau walahi, uzee huuHiyo ni kuber sio cowbell maziwa ya unga
Walevi mnaujua vizuri kumbe?😂😂😂Eti maziwa daaah... Hiyo ni ugoro ya wahindi,, ni kali si mchezo
Nishasahau kabisaKo huikumbuki cowbell mwanetu?
Kube for Better Health of your Child😂😂Mwaka 2001 Nilikuwa na Demu wangu sijui kama anatumia hiyo kitu.. Sasa msimu wa likizo kuna siku nikaenda kwao.. Nikashinda naye.. Kumbe alikuwa na alosto akawa hataki nijue anatumia Kuber.. Akawa kakausha.
Basi mimi sijui nikaaga nikasepa kama dk tano nikagundua nimesahau simu yangu kuifuata nakuta demu mdomo mzito. Nikamuliza vipi tena Asee akani onesha pakti akanambia anabwia..
Basi Nakumbuka kesho yake nili msindikiza mgeni apande treni.. Pale stesheni Si nika uona Nakumbuka ulikuwa unauzwa Jero nika nunua, nikaifungua ile harufu yake kama karafuu nika ichukulia powa.. Nika ibwia kama yote.. Thubutuuu.....
Sitasahu hiyo siku.. Nilitokwa Jasho nilijamba.. Nili nyong'onyea, Mwili ukakosa nguvu.. Ilibidi nika harishe.. Kwanza.. Baada ya hapo Nilikuwa nikiiyona hiyo pakti natapika..
2000 hapo soda ilikua sh 100. Bia ilikua zaidi ila nafikiri jero ilifika2001 hukuwa na umri was kujielewa.Umefurahisha kijiwe tu. Et umesahau simu nyumbani kwa demu wako 🤣🤣 wakati huo simu sio kitu cha kila mtu anayo. Then unasema 500 kuber!!! Unaijua mia 5 ya mwaka 2000?? Kumbuka mtoto wa kishuaa ndio anaenda shule na 50. Hapo ananunua embe la kukata sh 10 au zima sh 30. İnaweza kupata maji ya kifuko sh 5, ubuyu sh 5,muhogo sh 5. Tumenunua sana Kuber kwa hela za shule haikufika jero. Bia yenyewe haikuuzwa jero mwaka 2000
Inaonesha ulifanana na Chai Jaba Family 😂😂😂😂Meno Uketo au maindi chomame nilikuwa nanunua mkanda mzima zilikuwa kama 20 ivi naenda nazo shule (boarding) fizi ziliungua zilibadilika zilikuwa nyeusii wakati nipo likizo home niaharudi chumba kilikutwa kimejaa makiberi tupu niligombezwa sana!
Daa kitambo sana....Nakumbuka Tupo Tunasoma mafundisho ya kipaimara 2004 iyo kuna mwamba akaja nayo church...Mara paap Mchungaj kazama class kanikuta nimeishika asee alinipa Kipigo na haikutosha akaenda kunisemea kwa Bi mkubwa kuwa navuta kuber.View attachment 3315466
Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
Kumbe ww n dogo wa juzi....Eti Maziwa iyo n zaidi ya ugoroMaziwa ya kauberi, dah kitambo sana haya
Nakumbuka siku nimekula kuberi nilishindwa kuvuka barabara, na maza alikuwa amenituma. Story imeanza nmepewa maelezo ujumbe natakiwa niufikishe mahali, sasa baada yakupata hayo maelezo kama ilivyo ada mtoto hanaga safari moja lazima apitie mahali ndio aelekeee mahali anaendaView attachment 3315466
Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️