Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Hebu tuache sentiments na vitu subjective namna hiiUna uhakika hujadanganya katika hata sehemu moja ya maelezo yako? Anyway! Kuna mdau hapo juu kasema vijana wa Arusha wakija Dar wanakuwa ni kama kuku tu (malofa). So, ni vijana wa Arusha ndiyo wanawaonea wivu vijana wajanja na smart, wenye exposure ya kutisha, wa DSM!
Check online statistics za word counts!Una uhakika Arusha inajulikana internationally kuliko Dar?[emoji23] Aisee hata mtoto wa STD 3 akiona hii text atadhani ni script ya FUTUHIIII[emoji23][emoji23][emoji23] Arusha vs Dar? Tuwe serious tuache masihara. Fananisha Arusha na Katavi, Simiyu nk!
Impact ni kwamba sekta ya utalii Arusha ni kubwa kuliko DSM.Okay! Impact ya majina yao kujulikana sana kuliko DSM ni ipi kwa taifa na kwa wakazi?
Hako ka mji kenu hata stand nzuri hakuna..? Airpot ya kishamba saana. 😁😁😁😁 niendeleee kukupasua Mr ArushaImpact ni kwamba sekta ya utalii Arusha ni kubwa kuliko DSM.
Idadi ya foreigners Arusha ni kubwa kuliko DSM
Idadi ya expatriates Arusha ni kubwa kuliko DSM
Uchumi mkubwa uliopo DSM ni wa kimachinga kuuza bidhaa kutoka China,yaani bandari ndio inafanya DSM inakua na GDP zaidi ya mikoa yote,na idadi ya watu wengi.
Wana maisha duni na wanaishi kwenye slums na kutembeza bidhaa,basi!
Go check utakuta takwimu!
Mzee, yaani hakuna sehemu kuna ushoga kama Arusha. Wewe waone tu hivyo na uhuni wao ila hawana ubingwa kabisa hao.Hadi Wagumu wanafinywa acha zako mkuu uliona wapi?
Mbulu ipo manyara kwa upande ule karatu ni mwisho wa arusha.Mbulu ipo Manyara au Arusha
Bila shaka una Asili ya Pwani aka Umwinyi.Mimi mwanzo ilikuwa inanipa shida sana mpaka kuja kukaa sawa na kuwaelewa style ya maisha yao. Nilikuwa nashangaa mtoto anaweza kukupita tu na anakutazama na wala hakusalimii, sio mtoto unakuta hata mtu mzima.
Ila baada ya kuwaelewa jinsi gani wanaishi maisha yao na ID yao wala sikupata tabu tena kuhusu Wachugga, na mimi nawapita tu...!
Umemaanisha nini?Hata hio Karatu ipo Nje ya Arusha, Wambulu wengi ni wenyeji waliohamia Arusha
View attachment 2708340
Sawa. Ila kwa kuanza, weka wewe takwimu za vijana wa Dar wenye wivu na vijana wa Arusha nami niweke. Kisha tuendelee. Unaonaje hilo?Hebu tuache sentiments na vitu subjective namna hii
Naomba uweke takwimu ya hao vijana malofa!
Naomba ufanye hili ili tuende sambamba
Sawa! Unaweza kutoa ufafanuzi kuwa FUTUHI ilikuwa tamthilia ya kimasikini? Kulinganisha na zipi?Check online statistics za word counts!
Na pia I doubt kama utakua umesafiri nje ya nchi anywhere,I doubt that!
Check halafu utamke neno "FUTUHI"
Kwanza mtu anaetamka neno la kishamba kama "FUTUHI" tayari hana exposure ni one of the low of the lowest ndio wapo accustomed na misamiati kama FUTUHI maana ilikua ni tamthilia inayooneshwa TV stations za kimasikini,hivyo umekulia kwenye umasikini maana mlikua hamna uwezo wa ku-afford cable TV kama Dstv
Ukitaka kujua low budget individuals angalia misamiati yao,ya hovyo,ni low budgets tupu!
OkayImpact ni kwamba sekta ya utalii Arusha ni kubwa kuliko DSM.
Idadi ya foreigners Arusha ni kubwa kuliko DSM
Idadi ya expatriates Arusha ni kubwa kuliko DSM
Uchumi mkubwa uliopo DSM ni wa kimachinga kuuza bidhaa kutoka China,yaani bandari ndio inafanya DSM inakua na GDP zaidi ya mikoa yote,na idadi ya watu wengi.
Wana maisha duni na wanaishi kwenye slums na kutembeza bidhaa,basi!
Go check utakuta takwimu!
Mkuu amesema tukaangalie takwimu. Haya acha tukajiridhishe kisha turudi.!Hako ka mji kenu hata stand nzuri hakuna..? Airpot ya kishamba saana. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] niendeleee kukupasua Mr Arusha
Kajiridhishe. Maana hao wote wanoingia kwenye kutalii chuga wengi hupotia airpot ya darMkuu amesema tukaangalie takwimu. Haya acha tukajiridhishe kisha turudi.!
Kwamba kumbe kuna watalii walalahoi pia?[emoji23] kwanza jamaa kasema yeye ni mtu wa Dar ila watu wa Dar washamba sana.Kajiridhishe. Maana hao wote wanoingia kwenye kutalii chuga wengi hupotia airpot ya dar
Huku pwani ndio mhimili wa Tanganyika bahata mbayaBila shaka una Asili ya Pwani aka Umwinyi.
Kama unataka salamu nenda mashuleni huko.