Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Una uhakika hujadanganya katika hata sehemu moja ya maelezo yako? Anyway! Kuna mdau hapo juu kasema vijana wa Arusha wakija Dar wanakuwa ni kama kuku tu (malofa). So, ni vijana wa Arusha ndiyo wanawaonea wivu vijana wajanja na smart, wenye exposure ya kutisha, wa DSM!
Hebu tuache sentiments na vitu subjective namna hii

Naomba uweke takwimu ya hao vijana malofa!

Naomba ufanye hili ili tuende sambamba
 
Una uhakika Arusha inajulikana internationally kuliko Dar?[emoji23] Aisee hata mtoto wa STD 3 akiona hii text atadhani ni script ya FUTUHIIII[emoji23][emoji23][emoji23] Arusha vs Dar? Tuwe serious tuache masihara. Fananisha Arusha na Katavi, Simiyu nk!
Check online statistics za word counts!

Na pia I doubt kama utakua umesafiri nje ya nchi anywhere,I doubt that!

Check halafu utamke neno "FUTUHI"

Kwanza mtu anaetamka neno la kishamba kama "FUTUHI" tayari hana exposure ni one of the low of the lowest ndio wapo accustomed na misamiati kama FUTUHI maana ilikua ni tamthilia inayooneshwa TV stations za kimasikini,hivyo umekulia kwenye umasikini maana mlikua hamna uwezo wa ku-afford cable TV kama Dstv

Ukitaka kujua low budget individuals angalia misamiati yao,ya hovyo,ni low budgets tupu!
 
Okay! Impact ya majina yao kujulikana sana kuliko DSM ni ipi kwa taifa na kwa wakazi?
Impact ni kwamba sekta ya utalii Arusha ni kubwa kuliko DSM.

Idadi ya foreigners Arusha ni kubwa kuliko DSM

Idadi ya expatriates Arusha ni kubwa kuliko DSM

Uchumi mkubwa uliopo DSM ni wa kimachinga kuuza bidhaa kutoka China,yaani bandari ndio inafanya DSM inakua na GDP zaidi ya mikoa yote,na idadi ya watu wengi.

Wana maisha duni na wanaishi kwenye slums na kutembeza bidhaa,basi!

Go check utakuta takwimu!
 
Hako ka mji kenu hata stand nzuri hakuna..? Airpot ya kishamba saana. 😁😁😁😁 niendeleee kukupasua Mr Arusha
 
Mimi mwanzo ilikuwa inanipa shida sana mpaka kuja kukaa sawa na kuwaelewa style ya maisha yao. Nilikuwa nashangaa mtoto anaweza kukupita tu na anakutazama na wala hakusalimii, sio mtoto unakuta hata mtu mzima.

Ila baada ya kuwaelewa jinsi gani wanaishi maisha yao na ID yao wala sikupata tabu tena kuhusu Wachugga, na mimi nawapita tu...!
Bila shaka una Asili ya Pwani aka Umwinyi.
Kama unataka salamu nenda mashuleni huko.
 
Mbulu ipo manyara kwa upande ule karatu ni mwisho wa arusha.

Hata hio Karatu ipo Nje ya Arusha, Wambulu wengi ni wenyeji waliohamia Arusha
1691157808591.png
 
Check online statistics za word counts!

Na pia I doubt kama utakua umesafiri nje ya nchi anywhere,I doubt that!

Check halafu utamke neno "FUTUHI"

Kwanza mtu anaetamka neno la kishamba kama "FUTUHI" tayari hana exposure ni one of the low of the lowest ndio wapo accustomed na misamiati kama FUTUHI maana ilikua ni tamthilia inayooneshwa TV stations za kimasikini,hivyo umekulia kwenye umasikini maana mlikua hamna uwezo wa ku-afford cable TV kama Dstv

Ukitaka kujua low budget individuals angalia misamiati yao,ya hovyo,ni low budgets tupu!
Sawa! Unaweza kutoa ufafanuzi kuwa FUTUHI ilikuwa tamthilia ya kimasikini? Kulinganisha na zipi?

Pia, unaweza kuthibitisha kuwa king'amuzi kilichorusha FUTUHI ni cha kimasikini? Kwa kutumia vigezo gani?

Mwisho, tuambie maana/tafsiri ya umasikini! Ionekane 'correlation' kwenye maelezo yako.
 
Impact ni kwamba sekta ya utalii Arusha ni kubwa kuliko DSM.

Idadi ya foreigners Arusha ni kubwa kuliko DSM

Idadi ya expatriates Arusha ni kubwa kuliko DSM

Uchumi mkubwa uliopo DSM ni wa kimachinga kuuza bidhaa kutoka China,yaani bandari ndio inafanya DSM inakua na GDP zaidi ya mikoa yote,na idadi ya watu wengi.

Wana maisha duni na wanaishi kwenye slums na kutembeza bidhaa,basi!

Go check utakuta takwimu!
Okay
 
Kuna hawa wanaoendesha piki piki wakilipua vitu mbali mbali bila sababu yaani ni hatari kubwa kuna sehemu watavamiwa watu watadhani ni milipuko ya pikipiki kumbe wamevamiwa
 
Back
Top Bottom