Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

A Change Starts With You!
 
Malizeni wao wadada wanaume kwanza hapo daslam mimi kwangu Bora mtoto awe jambazi kuliko kuwa shoga alafu mbona Arusha haina matukio kiiivo kama Geita???
 
Kuna hawa wanaoendesha piki piki wakilipua vitu mbali mbali bila sababu yaani ni hatari kubwa kuna sehemu watavamiwa watu watadhani ni milipuko ya pikipiki kumbe wamevamiwa
😆😆😆😬 Kwani na wewe si ulipue tu jombii
 
Kila sehemu Kuna life staili yao so usifosiR chuga kufanana na sehemu nyingine za kiwaki kama huko dar vijana ni warembo kuliko dada zao huku swala ushoga likiwa limetamalaki
 
Malizeni wao wadada wanaume kwanza hapo daslam mimi kwangu Bora mtoto awe jambazi kuliko kuwa shoga alafu mbona Arusha haina matukio kiiivo kama Geita???
Unazungumzia matukio yapi ushoga kwamba Geita ni mashoga wengi kuliko Arusha?
 
Kila sehemu Kuna life staili yao so usifosiR chuga kufanana na sehemu nyingine za kiwaki kama huko dar vijana ni warembo kuliko dada zao huku swala ushoga likiwa limetamalaki
Kwa hio dingilai wewe unasemaje kwamba Porter's wa Arusha wanapasuliwa spika na foreigners?
 
Sasa hivi niko kijiwe cha kahawa hapa karibu na Amana Bank kama unashuka kwa Benson,amekuja dogo kapaki pikipiki ana kiatu kama tofali aisee,kasuruali Kate kamebana chini kama soksi,koti kubwa halafu mchafu mbaya,yaani aisee,siwezi hamishia watoto wangu hapa wakakulia hapa hapana,nina zaidi ya miaka kumi nafanya kazi hapa lakini sipahitaji kifamilia hata kidogo
 
usiongee sana ...nenda gereza la kisongo ujionee, tumewajaza humo vijana wa arusha na bado tunaendelea kuwajaza muda si mrefu wengine tutaanza kuwapeleka gereza la karanga moshiiiiii..
 
boda boda guys are full of comic which turn to perish themselves.Several cases as case study in this year,the government should take measures to rescue their life without that 'll endanger the prosperity of region and country in general!
 
Utajiri wa baba zao ulipatikanaje

Mamasamia???

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…