Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Hata kwenye jamii uliyotokea hawakosekani vijana wa hivyo....hatujatofautiana...ni vile tu ushhakuwa na negativity kuhusu ukanda huo
Sio vijana tu hii inaathiri mpaka watoto kizazi na kizazi wanakulia humo mzee. Ukweli mchungu lazima usemwe...!
 
Kuna siku nlipishana na machalii wawili mida ya saa tatu usiku, mitaa ya pale mianzini, wakiwa na umri kati ya miaka 13 au 14 hivi.

Mmoja kiunoni anabonge la beto, anamwambia mwenzake "haki ya mama, yule manzi asingetoa ile simu, mi ningemvurugua maini asee".
Kuna mwingine tumemzika wiki imepita alinunuliwa boda ..speed zke tulijua hata miezi 3 hamalizi na kweli alikua speed na mwenzake wakagonga basi kwa nyuma wote palepale
 
Niliishi Arusha kuanzia mwaka 2012 mpaka 2014 kwa kweli niliupenda sana huo mkoa kuanzia watu wake, hali ya hewa, vyakula n.k. Ni moja kati ya mikoa ninayotamani kuitembelea tena. Arusha watu wengi ni wastaarabu sana japokuwa wahuni wapo lakini uhuni ni kila sehemu.

Mkoa ambao sipendi kuishi ni Dodoma, Iringa na Njombe na hata Mbeya hii mikoa haijanibariki kabisa.
 
Kuna siku nlipishana na machalii wawili mida ya saa tatu usiku, mitaa ya pale mianzini, wakiwa na umri kati ya miaka 13 au 14 hivi.

Mmoja kiunoni anabonge la beto, anamwambia mwenzake "haki ya mama, yule manzi asingetoa ile simu, mi ningemvurugua maini asee".
Bangi na Double kick zilishapanda vichwani mwao.
 
boda boda guys are full of comic which turn to perish themselves.Several cases as case study in this year,the government should take measures to rescue their life without that 'll endanger the prosperity of region and country in general!
that with the ongoing spread of gangs and crime will really hurt Arusha in years to come, they may seem little problems as for now but they are compounding at a high rate, the teenagers are badly influenced to glorify these toxic cultures,
 
Hao kelele tu na pikipiki,vichaa wako mbeya bwana,mbeya kuna vichaa na wanajielewa,wamepinda haswaaa hadi wazee
 
Kwa ninavyoelewa mimi kwa akili yangu bila kutumia kamusi, haya maneno tofauti zake au maana zake ni kama ifuatavyo;

1.WAZAWA-ni watu wenye asili ya sehemu au eneo fulani kwa kuzaliwa.

2.WAGENI-ni watu ambao wamekuja/kuhamia/kutembea sehemu au eneo fulani.

3.WENYEJI-ni watu ambao wapo katika eneo au sehemu fulani kwa muda mrefu lakini hawajazaliwa hapo.

4.WAKUJA-hili ni neno tu la mtaani likiwa na maana ya utani kwa watu ambao wamehamia eneo au sehemu fulani wakiwa bado na ushamba wa kutoelewa mazingira mapya ya eneo au sehemu waliyopo.
Exactly 💯
 
Check online statistics za word counts!

Na pia I doubt kama utakua umesafiri nje ya nchi anywhere,I doubt that!

Check halafu utamke neno "FUTUHI"

Kwanza mtu anaetamka neno la kishamba kama "FUTUHI" tayari hana exposure ni one of the low of the lowest ndio wapo accustomed na misamiati kama FUTUHI maana ilikua ni tamthilia inayooneshwa TV stations za kimasikini,hivyo umekulia kwenye umasikini maana mlikua hamna uwezo wa ku-afford cable TV kama Dstv

Ukitaka kujua low budget individuals angalia misamiati yao,ya hovyo,ni low budgets tupu!
Kwamba unatakasema we familia Bora ??
 
Mimi mwanzo ilikuwa inanipa shida sana mpaka kuja kukaa sawa na kuwaelewa style ya maisha yao. Nilikuwa nashangaa mtoto anaweza kukupita tu na anakutazama na wala hakusalimii, sio mtoto unakuta hata mtu mzima.

Ila baada ya kuwaelewa jinsi gani wanaishi maisha yao na ID yao wala sikupata tabu tena kuhusu Wachugga, na mimi nawapita tu...!
Mkuu hao sio wachaga kwa asilimia kubwa hao ni wameru na wamasai, wachaga wanajua kulea vijana wao na wanaadabu sana, nimeishi kilimanjaro nafahamu hilo. Vijana wengi wa Arusha ni wa hovyo sana kifupi kulea familia Arusha ni ngumu kweli. Kunahitajika operasheni ya kutokomeza hao wahuni la sivyo hata utalii utashuka.
 
Back
Top Bottom