Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Naomba huu ujumbe umfikie "Petro magoti". Jamaa ukimkata anatoa damu ya kijani. Jk alipita bila teuzi sasa naona hata JPM kampita pia.
Kuna kijana mmoja pia " nimemaliza nae UDOM kijana wa Lumumba ana kihere here Sana.Naomba Pia Huu ujumbe Umfikie Popote alipo👆
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Sonje wa Songwe alilalamika hadharani juu ya hili. Hoja yake ikazimwa na JPM halafu wanaccm kindakindaki mkaufayata.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.

!
!
Abdul Nondo wa ACT is next
 
Kwani hao uliyowataja siyo Watanzania?
 
Waache akili iwaingie mkuu halafu kutwa wapo humu wanawaponda upinzani na mbowe bila kujua kwamba vijana wa mbowe wamechukua vitengo ambavyo walipaswa wapewe wao wafia chama
 
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.
unajidanganya sana,hao wote ni ccm,walikwenda upinzani kwa kazi maalum
Waitara alikua ccm akaenda chadema,utasemaje ni chadema huyo?
Dr Slaa alikua ccm akaenda chadema
Poleni nyie tanapa,kila siku kuchukua watu kutoka ccm kutegemea wawavushe
 
Kwa fikra zako hizi basi hakuna mtu ambaye ni chadema. Waliopo chadema wote ukiondoa vijana below 30 walikuwa ccm ama vyama vingine.

Lisu, Msigwa, Mbowe, Lema, e.t.c unadhani wameanzia siasa chadema?
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Sonje wa Songwe alilalamika hadharani juu ya hili. Hoja yake ikazimwa na JPM halafu wanaccm kindakindaki mkaufayata.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
kwani wapinzani sio watanzania?
 
Kwa fikra zako hizi basi hakuna mtu ambaye ni chadema. Waliopo chadema wote ukiondoa vijana below 30 walikuwa ccm ama vyama vingine.

Lisu, Msigwa, Mbowe, Lema, e.t.c unadhani wameanzia siasa chadema?
hakuna mtu ambaye kazaliwa kuanzia 1970 kurudi nyuma hajawahi kuwa ccm,acheni kudanganyana
 
Kwahiyo umezitupilia mbali hoja zako mfu?

Ulileta hoja utopolo za Facebook nimezi-crash mpk umelegea.
 
unajidanganya sana,hao wote ni ccm,walikwenda upinzani kwa kazi maalum
Waitara alikua ccm akaenda chadema,utasemaje ni chadema huyo?
Dr Slaa alikua ccm akaenda chadema
Poleni nyie tanapa,kila siku kuchukua watu kutoka ccm kutegemea wawavushe
Mbona wewe unasaga lami hadi viatu vimepinda na huna mbele wala nyuma pamoja na kushinda sana lumumba?
 
Vijana wa lumumba hawana shida na vyeo, wapewe tu wapinzani.
 
Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
Hawa wote walikua wapelelezi baada ya kugundua upinzani ni magumashi wamerudi nyumbani
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Sonje wa Songwe alilalamika hadharani juu ya hili. Hoja yake ikazimwa na JPM halafu wanaccm kindakindaki mkaufayata.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
Kwani lazima mzeekee Lumumba?
 
Naona mnatafuta namna ya kufitinisha wazalendo wa nchi hii....MAENDELEO ya kweli yanakuja kutoka CCM na ni ukweli usiopingika ina hazina kubwa ya Vijana kwa Tanzania ya leo,Kesho na baada ya Kesho.
 
Unatumia vibaya haki yako ya kutoa maoni .Yaani unavuka mipaka,tukisema tuwajibu mnakimbulia kwa mods eti "nipigwe ban" huo ni uzandiki na undezi. Haya wewe unafaidika nini na Ruzuku aliyovuta mbowe tar 27 Nov 2020??🤔
Kwani ni kweli wanalipa tuunge trela.
 
Naona mnatafuta namna ya kufitinisha wazalendo wa nchi hii....MAENDELEO ya kweli yanakuja kutoka CCM na ni ukweli usiopingika ina hazina kubwa ya Vijana kwa Tanzania ya leo,Kesho na baada ya Kesho.
Tupeni njia tupate kula sote.
 
Back
Top Bottom