Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Wewe kweli pimbi, heshima na mapaja hakuna uhusiano
 
Wengi wanaovaa hivyo wana hulka ya ushoga ushoga, na kama unavyojua 90% ya wanaume wa Dar wana hulka ya ushoga ushoga
 
Jamii ishaharibika hiyo
 
Ukisikia uhafidhina usio na kichwa wala miguu,ndio huu. Umegusa neno MAADILI: Maadili ni nini..?? Nini chanzo/vya maadili..??Maadili ya jamii ya Tanzania ni yapi...?? Je maadili yaweza kubadilika kutokana na Jamii & mazingira kubadilika:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…