Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Duh!Kwa hiyo unakamata na kupiga ukuni?Wahurumie.Watahama mji kwa hofu.HahahahaaaView attachment 2242248
CHEKI HUYU KAACHA MATAKO WAZI HUKU KASHIKILIA PIPI NITAWAPIGA UKUNI NIKIENDA DAR.
Mbaralu sehemu gani mkuuWewe fanya kilichokupeleka, fanya yako, fuata maisha yako, hangaika na yako, neng'eneka na yako, ukifata ya watu utakufa mapema. Ushauri kutoka mbarali
Mawindi hapaMbaralu sehemu gani mkuu
Wee bwana kwani kuonyesha mapaja tatizo liko wapi?
Seriously??!!!Wee bwana kwani kuonyesha mapaja tatizo liko wapi?
Wee mbona huoji mabush man kutembea nusu uchiSeriously??!!!
Siyo tu ukhanithi, ni Uchoko!!Mwanaume aliyekamilika hawezi vaa hivoo hizo ni dalili za uhanisi
Evolution was still in progress. But not now.Hivi mnazungumziaga maadili gani ayo mbona mi siyafahamu.
Apo zamani utamaduni wetu ulikuwa ni kuziba viuongo vya uzazi tu, sasa huo tunaouita utamaduni wetu hauruhusu mapaja kuwa nje muasisi wake ni nani? Na ulianzishwa lini?
But we are not Bushmen.Wee mbona huoji mabush man kutembea nusu uchi
But we all humansBut we are not Bushmen.
Oh yes. Those Bushmen when you meet them in Gaborone you can't even recognise them, they are full dressed.But we all humans
Wee bwana wamasai tnapanda nao mabasi humu na mapaja yao tunayaona shida iko wapiOh yes. Those Bushmen when you meet them in Gaborone you can't even recognise them, they are full dressed.
Hao sina shida nao kwani najua ni utamaduni wao. Shida I nakuja kwa kijana wa Kichaga, Kihaya, Kisukuma, Kibondei, nk nk.. In hot pence!! Hapana ndugu yangu.Wee bwana wamasai tnapanda nao mabasi humu na mapaja yao tunayaona shida iko wapi
Aya bwana wee kama u have a problem with that thats u....kwangu mie ata utumbe uchi poa tuu kwanza dar jotoHao sina shida nao kwani najua ni utamaduni wao. Shida I nakuja kwa kijana wa Kichaga, Kihaya, Kisukuma, Kibondei, nk nk.. In hot pence!! Hapana ndugu yangu.
Oooh sawa. Naona unapata upepo mwanana. Mi niko Igawa nimeingia jioni hii kuna kaupepo kanashawishi vibayaMawindi hapa
Serikali nayo imefumbia macho uvaaji wa hovyo wa vijana.
Bungeni nako kimyaa!
Wakike mapaja nje, sasa wanaume pia.
Aaahhh. Paanzishwe jeshi maalumu la mgambo huko Dar wanakoanzisha ujinga ujinga akionekana mwanaume mapaja nje ni fimbo tu.
Miaka miwili watanyooka wanatuletea nuksi tu.
NdioUmewahi kuangalia mechi za mpira wa miguu?