Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!"
🤗
Dar tuna mavijana ya hovyo hayajawahi kuwapisha wazee kwenye seat! Dar kuna mafundisho ya hovyo sana, siku moja niko kwenye mwendokasi kibinti kikajidai kuinama ili kasiwaone wazee! Wamama wakakatolea uvivu, si mama yake akaja juu! Nilishangaa sana!
 
Ni busara kuwaacha wakubwa wakae! Unatazama na mazingira na hali ya mzee!

Kama huwezi kutoa pesa kusaidia wengine basi jaribu hata kutoa HURUMA!

Kama ilivyopesa inavyouma Unapotoa msaada hata kutoa HURUMA nayo inauma vilevile ni sadaka!

Siyo kila mzee unaweza kumpisha lakini hekima tu inahitajika kulingana na hali ya mzee utakavyomuona!
 
Back
Top Bottom