SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Kupanda gari tupu watachelewa safari so why wanaliwahi lililo jaaWanatafuta huruma. Asilimia kubwa huwa napanda gari stand. Unakuta gari limejaa ndo anaingia mzee,mjamzito au mama mwenye mtoto akitegemea watu watampisha,wakati huo huo unaona limekuja gari tupu yaan hata kujikurupusha ashuke apande hilo wala hana hilo wazo anakuja kuegamia ulipo