Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Sasa unakuta mwanzo kabisa wa gari halafu mzee anapanda ambalo limeshajaa ili apishwe.
Kibaya zaidi anapishwa anavyotaka kushuka anaporomoka tu siti anamwachia mwengine.

Fikiria umemwachia siti makumbusho mwanzo wa gari, halafu anashuka karume bila hata kukuachia siti yako.
Ndio maana UBAYA UBWELA.
 
Sisi Wazee hatuna Kumbu kumbu
 
Dar tuna mavijana ya hovyo hayajawahi luwapisha wazee kwenye seat! Dar kuna mafundisho ya hovyo sana, siku moja niko kwenye mwendokasi kibinti kikajidai kuinama ili kasiwaone wazee! Wamama wakakatolea uvivu, si mama take akaja juu! Nilishangaa sana!
UBAYA UBWELA.
 
Sio wazee tu kuna wajawazito na wenye watoto unakuta gari imejaa na yupo stend kuu ila anapanda umo umo alafu anakutazama umpishe unakuta mtoto anaanza kulia sio poq aseeh inakera.
 
Na utanyanyasika mno 😀😀, kizazi kijacho ndo watakua balaa
Lazima wawe na roho ngumu unakuta mwanafunzi anapata shida kupanda daladala na bado anasimama na manyanyaso ya konda juu. Kwahiyo akimaliza shule na akikumbuka shida alizokuwa anapitia lazima akaze fuvu labda aje mjamzito.
 
Hiki kizazi jmn unakuta mtu unaona mbibi wa 70 umekodoa macho makavu umekaa,unaona mjamzito hujugusi.Muda mwingine vitu vidogo kama hivi vinakosesha watu baraka unajiuliza kwa nini hisongi mbele unarudi nyuma kumbe wewe mwenyewe ni kikwazo
 
Hyo inategemea na location ulipo pandia yani ukute gari lipo stand kuu limejaa magari mengine yapo wazi alafu nikupishe hapo utasimama mpka ukome tena naweka na ka maulid kitenge maskioni
 
Wanatafuta huruma. Asilimia kubwa huwa napanda gari stand. Unakuta gari limejaa ndo anaingia mzee,mjamzito au mama mwenye mtoto akitegemea watu watampisha,wakati huo huo unaona limekuja gari tupu yaan hata kujikurupusha ashuke apande hilo wala hana hilo wazo anakuja kuegamia ulipo
Hili huwa ninalitafakari sana hususani mwanzo wa stendi ambapo daladala hujaza kwa foleni. Sijui kwa nn hawajiongezi.
 
Back
Top Bottom