Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Wanatafuta huruma. Asilimia kubwa huwa napanda gari stand. Unakuta gari limejaa ndo anaingia mzee,mjamzito au mama mwenye mtoto akitegemea watu watampisha,wakati huo huo unaona limekuja gari tupu yaan hata kujikurupusha ashuke apande hilo wala hana hilo wazo anakuja kuegamia ulipo
mm apo tu ndo ntakua kauzu sicheki na wowote🤣
 
Mimi huwa nikienda kwenye mikusanyiko ya watu mfano msibani, huwa najiwahi kukaa mfano kwenye msingi au tofali.

Kamwe sikalii kiti mana najua ntaona aibu kumpisha mzee. Nikikaa kwenye msingi hapo sina kosa, akija mzee nauchuna tu apambanie viti kwanza vilivyokaliwa na vijana.
Mbinu nzuri sana.
Kunyenyuka kuanza kutafuta nafasi tena huwa ni kazi
 
Kuna siku nlipanda gari jamaa alikaa na mke wake wote ni vijana wa umri wa kati tu wapo na watoto wao wawili....jamaa kawalipia seat 2 wanae, tumefikia sehemu Kuna mzee mrefu kinoma alipanda sasa Ile gari ukiwa mrefu inabindi u-bend kidogo😁 mzee akataka kuwaondoa watoto kwenye seat palizuka ugomvi humo
 
We unasema daladala kuna mzee alisimama kutoka igunga hadi nzega kuna mhaya mmoja aliwalipia siti mbili wanae wa miaka kati ya 6-10, mzee alitaka kuwabeba jamaa akakaza aloo 😒😒😒
 
Back
Top Bottom