Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kumbuka kuwa, hata wewe hautabaki kijana miaka yote.Wazee wanakera, anaona kabisa basi limejaa..alafu anapanda akijua kuna mtu atampisha...ukinikuta mimi utasimama sana mzee
Mimi huwa nikienda kwenye mikusanyiko ya watu mfano msibani, huwa najiwahi kukaa mfano kwenye msingi au tofali.Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!"
🤗
Kwenye mwendokasi vijana wengine hukwepa viti vyekundu ,kwingine humtoi anakuwa kasinzia na anakoroma ,ila wakiingia wadada macho kodo na uchu juu 😺Mimi huwa nikienda kwenye mikusanyiko ya watu mfano msibani, huwa najiwahi kukaa mfano kwenye msingi au tofali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye mwendokasi vijana wengine hukwepa viti vyekundu ,kwingine humtoi anakuwa kasinzia na anakoroma ,ila wakiingia wadada macho kodo na uchu juu [emoji74]
Hapana ni kinyumeWazee walitakiwa wawe wamenunua magari binafsi wanaendeshwa na wajukuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee achague moja kati ya haya
1. ASIMAME NIMLIPIE NAULI
2. NIMPISHE ALIPE NAULI YA WATU WAWILI
Chaguo ni lake [emoji3]
😩shida huwa n nini kwa upande wako
Wanajifanya wamesinziaVijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!"
🤗