Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

mm apo tu ndo ntakua kauzu sicheki na wowote🀣
 
Mbinu nzuri sana.
Kunyenyuka kuanza kutafuta nafasi tena huwa ni kazi
 
Kuna siku nlipanda gari jamaa alikaa na mke wake wote ni vijana wa umri wa kati tu wapo na watoto wao wawili....jamaa kawalipia seat 2 wanae, tumefikia sehemu Kuna mzee mrefu kinoma alipanda sasa Ile gari ukiwa mrefu inabindi u-bend kidogo😁 mzee akataka kuwaondoa watoto kwenye seat palizuka ugomvi humo
 
Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!"
πŸ€—
Huyu ni mimi kabisaπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™Œ
 
We unasema daladala kuna mzee alisimama kutoka igunga hadi nzega kuna mhaya mmoja aliwalipia siti mbili wanae wa miaka kati ya 6-10, mzee alitaka kuwabeba jamaa akakaza aloo πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…