Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Na hao vijana walikua hawajalala ni uhuni tuu πKuna siku kuna Bibi na mjuukuu wake kaingia pale stand ya Buguruni to Gongolamboto ,basi Daladala nzima vijana wamelala usingizi mzito kwa uchovu wa majukumu mbalimbali πΉπΉ,basi bibi akapishwa na bibi mwenzake
Sisi Wazee hatuna Kumbu kumbuSasa unakuta mwanzo kabisa wa gari halafu mzee anapanda ambalo limeshajaa ili apishwe.
Kibaya zaidi anapishwa anavyotaka kushuka anaporomoka tu siti anamwachia mwengine.
Fikiria umemwachia siti makumbusho mwanzo wa gari, halafu anashuka karume bila hata kukuachia siti yako.
Ndio maana UBAYA UBWELA.
Na wewe utakuwa mzee wacha tusubiri tuone...Wazee walitakiwa wawe wamenunua magari binafsi wanaendeshwa na wajukuu
π€£π€£π€£..dah ila ndo tunapoelekea uko na sie mkuuWazee wanapenda sana kutia huruma
Wazee nao wajue zama zimebadilikaWe unasema daladala kuna mzee alisimama kutoka igunga hadi nzega kuna mhaya mmoja aliwalipia siti mbili wanae wa miaka kati ya 6-10, mzee alitaka kuwabeba jamaa akakaza aloo πππ
UBAYA UBWELA.Dar tuna mavijana ya hovyo hayajawahi luwapisha wazee kwenye seat! Dar kuna mafundisho ya hovyo sana, siku moja niko kwenye mwendokasi kibinti kikajidai kuinama ili kasiwaone wazee! Wamama wakakatolea uvivu, si mama take akaja juu! Nilishangaa sana!
Watu tuna roho mbaya sana aiseeKuna siku kuna Bibi na mjuukuu wake kaingia pale stand ya Buguruni to Gongolamboto ,basi Daladala nzima vijana wamelala usingizi mzito kwa uchovu wa majukumu mbalimbali πΉπΉ,basi bibi akapishwa na bibi mwenzake
Lazima wawe na roho ngumu unakuta mwanafunzi anapata shida kupanda daladala na bado anasimama na manyanyaso ya konda juu. Kwahiyo akimaliza shule na akikumbuka shida alizokuwa anapitia lazima akaze fuvu labda aje mjamzito.Na utanyanyasika mno ππ, kizazi kijacho ndo watakua balaa
Kama gari limejaa usipande overSasa tuende wapi Sisi Wazee wa Busara
Hyo inategemea na location ulipo pandia yani ukute gari lipo stand kuu limejaa magari mengine yapo wazi alafu nikupishe hapo utasimama mpka ukome tena naweka na ka maulid kitenge maskioniHiki kizazi jmn unakuta mtu unaona mbibi wa 70 umekodoa macho makavu umekaa,unaona mjamzito hujugusi.Muda mwingine vitu vidogo kama hivi vinakosesha watu baraka unajiuliza kwa nini hisongi mbele unarudi nyuma kumbe wewe mwenyewe ni kikwazo
Hili huwa ninalitafakari sana hususani mwanzo wa stendi ambapo daladala hujaza kwa foleni. Sijui kwa nn hawajiongezi.Wanatafuta huruma. Asilimia kubwa huwa napanda gari stand. Unakuta gari limejaa ndo anaingia mzee,mjamzito au mama mwenye mtoto akitegemea watu watampisha,wakati huo huo unaona limekuja gari tupu yaan hata kujikurupusha ashuke apande hilo wala hana hilo wazo anakuja kuegamia ulipo
Vijana mtuhurumie sisi wazee wenu mbona hatuna tatizo na nyie, tumewakosea wapiWazee wanakera, anaona kabisa basi limejaa..alafu anapanda akijua kuna mtu atampisha...ukinikuta mimi utasimama sana mzee