Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

Kupanda gari tupu watachelewa safari so why wanaliwahi lililo jaa
 
Wazee wanakera, anaona kabisa basi limejaa..alafu anapanda akijua kuna mtu atampisha...ukinikuta mimi utasimama sana mzee
Ww kweli Huna Hekima...Pale Gerezan ikifika jioni Mzee anapataje siti...Subir na ww utazeeka tena ww miaka 45 kutembea hutaweza
 
Wanamakusud hao wazee anaona gari iko nyomi anapanda hivyo hivyo maana nini??
 
Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala, lakini wakiona kijana mwingine wanajua kupiga haraka speed za 'Formula 1'!"
🤗
Shida vijana wengi wa town wanahisi hawatazeeka watabaki vijana hvyohvyo maisha yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…