Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.

Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.

Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!

JAMBO JEMA NI KUWA, HATA YEYE MWENYEWE SAMIA AMELIONA HILO NA HIVI KARIBUNI ATAENDELEA KUWAREJESHA UONGOZINI WACHAPA KAZI WALE HUKU AKICHAGUA MAZURI YAO NA KUYAACHA MAPUNGUFU YAO.

Heko kwako dada Samia kwa kung'amua hilo!
 
Nashauri timu hizo zisajiliwe kabisa, ziingie Ligi kuu!!
 
Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Magufuli ndiwo pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.

Mnachokifanya makada wa aina yenu ni unafiki wa kutafuta au kulinda vyeo. Watu wanaompambania Samia ni wale wanaomwambia ukweli siyo nyie wenye mapambio ya sifa.
 
Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Magufuli ndiwo pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.

Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.

Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!

JAMBO JEMA NI KUWA, HATA YEYE MWENYEWE SAMIA AMELIONA HILO NA HIVI KARIBUNI ATAENDELEA KUWAREJESHA UONGOZINI WACHAPA KAZI WALE HUKU AKICHAGUA MAZURI YAO NA KUYAACHA MAPUNGUFU YAO.

Heko kwako dada Samia kwa kung'amua hilo!
Ndani ya CCM sasa hivi ni unafiki, uongo na kujipendekeza ili kulinda au kutafuta vyeo. Mama nchi imemshinda na chama pia kimemshinda kuendesha.
 
Uongozi ni jalala. Sio lelemama.

Hata wewe ukikabidhiwa nchi lazima wapo watakaosema imekushinda.

Hakuna Rais aliyewahi kusifiwa na kila mtu.
 
Nashauri timu hizo zisajiliwe kabisa, ziingie Ligi kuu!!
acheni kuwagawa watu kwa ukabila na ukanda kwa kuleta siasa zenu za kishamba
wangefanya hivi kina nyerere leo leo pasingekuwa na TZ
 
Kweli kabisa, waache Ujinga.

Chama kinatakiwa kiwe kimoja, kuasisi na kushabikia makundi ni utovu wa nidhamu.
 
[QUOTE="mbussi, post: 48584891, member: Watu wanaompambania Samia ni wale wanaomwambia ukweli siyo nyie wenye mapambio ya sifa.
[/QUOTE]
...kwamba, wezi wa mali ya Umma ambao aliwaamini kabla ndiwo wanao mwambia ukweli?!

Mtu pekee ambaye ukiondoa mihemko yake isiyo na staha anayeweza kumwambia ukweli dada Samia, ni Lissu huko upande wa Upinzani.
 
Ndani ya CCM sasa hivi ni unafiki, uongo na kujipendekeza ili kulinda au kutafuta vyeo. Mama nchi imemshinda na chama pia kimemshinda kuendesha.
...siyo kweli!

Kwa taarifa yako ndugu, CCM inayo akiba ya kutosha ya Viongozi wenye weredi kwalo na hivi karibuni dada Samia anaenda kuirejesha kwao.
 
bi arafa aliambiwa toka tarehe 14/7/2021.

kwamba ili njia yake isiwe na mabonde mabonde,hana budi kupita alipopita mwendazake.

hii nchi ina panyabuku sii ya kuoneana aibu na kuachiana kujitathimini,
 
..angalia jinsi Samia na genge lake wanavyo neemeka na kuishi kwa anasa halafu ujiulize kama sisi walalahoi tunapaswa kumpigania?

..kwa maneno mengine mnapigania mtu[ magufuli, samia, etc] ili azidi kutafuna kodi na tozo tunazolipa serikalini. Wakati huohuo sisi wananchi wa kawaida maisha yetu yanazidi kuwa magumu.
 
Timu magufuri ndo hao wanaojiita chawa wa mama???, Au ni timu tofauti
Hawaeleweki hawa. Kuna makundi kadhaa:
1. CHAWA WA MAMA
2. KUNDI MSOGA
3. SUKUMA GANG
4. CCM WAZALENDO.
Hawa wote wametawaliwa na tamaa ya Madaraka.

Ili haya makundi yakome, tupate Katiba Mpya ilivyo Bora na isiyoyumbishwa na yeyote.
 
Back
Top Bottom