Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

Hee hee kweli dunia ina mambo. Kuwa uyaone. Vijana wa Magufuli kuna mmoja shoga. Yule aliyeingia kwenye kilimo halafu juzi juzi amejifanya kutoa clip anakimbia mchakamchaka huku anaimba ''kamata mafisadi''. Yule shoga mtanzania anayeishi Canada aliyebadili jinsia kaanika kila kitu. Alimtongoza. Kamtaja na yule aliyekuwa mkurugenzi wa TANAPA alivyokuwa ''anamla''. Maskini ukimuona ni mzee na heshima zake kumbe.....
 
Hili wazo la timu Magufuli ni hewa,hakuna timu kama hiyo, kwa kuwa Magufuli hakuwa na makundi.Concept hiyo iliibuliwa na kundi la "Wahuni" wakiongozwa na Kikwete,ili kumdhalilisha Hayati Magufuli.

Nimalizie kwa kusema JPM hakuwa na "vijana wake," alihamasisha Watanzania kwa ujumla wao,not any specific group, wajiamini.
 
acheni kuwagawa watu kwa ukabila na ukanda kwa kuleta siasa zenu za kishamba
wangefanya hivi kina nyerere leo leo pasingekuwa na TZ
Akili yako ni ndogo sana na uwoga wa kipumbavu tu

Hapo umeona kaandika kabila la mtu
 
Ni kweli, maana kwa sasa ccm haiwezi kupambana tena kisiasa zaidi ya kutegemea watu wanaoweza kutekeleza uhalifu kama magu.
 
Tupo tayari.

Mama akituhitaji tutampa support kufikia malengo.
 
...siyo kweli!

Kwa taarifa yako ndugu, CCM inayo akiba ya kutosha ya Viongozi wenye weredi kwalo na hivi karibuni dada Samia anaenda kuirejesha kwao.
Ccm sio chama Cha siasa Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Ndio maana Kila anayeingia kwenye ulingo wa siasa anayetegemea zaidi mbeleko ya vyombo vya Dola. Sasa hivi mmeipotezea siasa mvuto, mmebaki kucheza maigizo ya kishamba mkidhani mtarejesha hamasa ya siasa nchini.
 
Mama anahitaji wasaidizi walionyooka na wazalendo wa kweli.

Moja ya vijana mahiri na imara ni Lengai ole Sabaya.
 
[QUOTE="mbussi, post: 48584891, member: Watu wanaompambania Samia ni wale wanaomwambia ukweli siyo nyie wenye mapambio ya sifa.
Mkuu sie kina nani? Na hao wapambanaji kina nani? Na wanampania vipi? Tafadhali fafanua!
 
Kwa hiyo akiwepo kiongozi wa mlengo wako hatotanua na shida za Wala hoi zitakoma?
 
Mama anahitaji wasaidizi walionyooka na wazalendo wa kweli.

Moja ya vijana mahiri na imara ni Lengai ole Sabaya.
Mkuu labda awe amenyooka baada ya kuwa mahabusu na mfungwa!

Ina maana mkuu hamna kabisa vijana mahiri, imara, wasafi na wasio na tuhuma yoyote nchini wa kupambania Raisi?

Hata wewe mkuu hujioni kuwa imara, mahiri na msafi kiasi kumpa nia Rais na nchi yako?
 
Unapambani Tumbo tu huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…