Mkuu ukishindanisha nguvu/ushamba dhidi ya akili/ujanja unafikiri kinacho shida ni nini?Na iwe hivyo!
Msoga boys wataanza kupiga mayowe!!
🤣🤣🤣Hatimaye Sukuma Gang yaibuka kidedea Msoga Gang waufyata.
Hao watoto wa mjini hamtaweza kushindana nao.Na iwe hivyo!
Msoga boys wataanza kupiga mayowe!!
Hamna lolote, mbona wamejazana bungeni ila hawajawahi pinga ufisadi? Jpm ndio katuletea vijana wa hovyo kabisa. We sema tu ccm kuna siasa za makundi ila kwamba kuna upande ulio competent ni uongoTimu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.
Kwa hiyo akiwepo kiongozi wa mlengo wako hatotanua na shida za Wala hoi zitakoma?
Hawa watamvusha mama wakipangwa vizuri:Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.
Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
JAMBO JEMA NI KUWA, HATA YEYE MWENYEWE SAMIA AMELIONA HILO NA HIVI KARIBUNI ATAENDELEA KUWAREJESHA UONGOZINI WACHAPA KAZI WALE HUKU AKICHAGUA MAZURI YAO NA KUYAACHA MAPUNGUFU YAO.
Heko kwako dada Samia kwa kung'amua hilo!
💐🎁Hamna lolote, mbona wamejazana bungeni ila hawajawahi pinga ufisadi? Jpm ndio katuletea vijana wa hovyo kabisa. We sema tu ccm kuna siasa za makundi ila kwamba kuna upande ulio competent ni uongo
Wakisaidiwa na wadogo zao nyumbu!Msoga boys wataanza kupiga mayowe!!
Kama anautaka Urais wa kuendelea hadi 2030 nampa pole sana, awe makini kuvamia mipango ya watu ambayo yeye hakuwamo, atimize muda wake aondoke.Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.
Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
JAMBO JEMA NI KUWA, HATA YEYE MWENYEWE SAMIA AMELIONA HILO NA HIVI KARIBUNI ATAENDELEA KUWAREJESHA UONGOZINI WACHAPA KAZI WALE HUKU AKICHAGUA MAZURI YAO NA KUYAACHA MAPUNGUFU YAO.
Heko kwako dada Samia kwa kung'amua hilo!
Potelea mbali kule, kichaa huyuhuyu ndie tunamtaka sasa..!!!aendelee kutuongozaMagufuli alikuwa anapenda vichaa kama yeye kama Samia na yeye anataka anajifunza kwa vichaa atakua kichaa soon.
Hivi mnaongea nini hamjui Riziwani ni waziri tena Utumishi wa Umma boss wa Tiss nyie mnaleta utaniNa iwe hivyo!
Msoga boys wataanza kupiga mayowe!!
Vijana wa jpm tunauchukia sana huu uongozi, umeturudisha nyuma sana hatua million , angekuepo jpm saiz tz ingekua TokyoPamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa kuwakemea Viongozi na Watumishi wazembe kwenye maeneo yao ya kazi.
Uthubutu wa hayo yote ulihisaniwa na baba yao ki Uongozi ambaye ni JPM. JPM aliwataka vijana wake wasiwe waoga pindi watakapo kuamua jambo. Aliwaeleza bayana ni heri wakosee kuamua kuliko kutokuamua!
JAMBO JEMA NI KUWA, HATA YEYE MWENYEWE SAMIA AMELIONA HILO NA HIVI KARIBUNI ATAENDELEA KUWAREJESHA UONGOZINI WACHAPA KAZI WALE HUKU AKICHAGUA MAZURI YAO NA KUYAACHA MAPUNGUFU YAO.
Heko kwako dada Samia kwa kung'amua hilo!
Kazi aliyofanya ya kutimua hao wezi tumpeni shime!mi nimeshangaa jana najikuta namtetea samia aisee uchawi upo msoga mpaka wakimbie