Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?

Let us think together! as rational citizens and reasonable members of a community
Haja withdraw chochote maana kwa sheria ya kwao bunge liliridhia raisi hata asiposaini baada ya siku 21 inakuwa sheria. Iliktakiwa kurudishiwa Bungeni ifanywe mabadiliko kutoka na mapendeezo ya raisi. Bunge limeenda likizo mpaka july likirudi siku 14 zitakuwa zimepita so itakula kwa Gen Z so dawa niki shikilia hapo hapo mpaka kieleweke.
 
Uharinifu wa Mali ni moja ya matokeo wakati wa maandamano. Ni kama kucheza mpira waweza kuvunjwa miguu, ila lengo halikuwa kuvunjwa miguu Bali kucheza mpira.
Hapana sasa mm naona kuvumilia uharibifu wa mali haiwezekani ww hujui mtu ameteseka kiasi gani kutengeneza hiyo mali
Kwanini hao waandamanaji wasichome watoto wao , magari na nyumba zao?
Je kwa gharama ya nani hizo mali zirudishwe? Think again
 
Siku 14
 
Mwenye mamlaka ya kuifuta ni bunge sio Rais. So bunge lisipokaa kufuta huo muswada kwa siku 14 inakuwa sheria moja kwa moja. Ni ujanja Ruto anataka kutumia ndio maana wananchi hawamwamini.
If that is the case then they have a point to consider
 
Kama Ruto amekubali finance bill inahitaji changes na kufuta baadhi ya vifungu, anawezaje kuaminika tena kuwa Rais na kutetea haki za wananchi?

Kama ameweza kutuma askari kufyatua risasi na kuua watu anawezaje tena kuaminika, kutetea na kulinda maslahi ya wakenya?
 
Ni sawa, kama wataweza kuleta nguvu ya umma ya kutosha ruto hatakuwa na jinsi ataondoka. Kwani yeye bila kenya haitakuwapo?
na mwingne akija watafanya hayo hayo, basi wamchague moja wao awe rais
 
Kwahiyo madai yao hayakuwa finance bill , hiyo ilikuwa stepping stone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…