Vijana wa Kenya (Gen Z) sasa mnataka nini?

Mkuu ndio umefikia hapo kwenye kufikiri kwako kwote ? Yan kwa akili zako zote mkuu ? Unajua kwanini wakenya wamegoma na wanaendelea kugoma ?
 
Akili za kitoto taabu sana hawawezi kuona kuwa Somalia iliharibiwa kwa akili za namna hii hii za hawa madogo wa Gen Z, watafika mahali kila mtaa utataka kuwa na serikali yake na uporaji unakuwa ndio sheria ya kila siku mtaani.

..Ruto alijifanya " chura kiziwi. "

..alifuata ushauri wa Mama Abduli kudharau malalamiko ya waandamanaji.
 
Akili za kitoto taabu sana hawawezi kuona kuwa Somalia iliharibiwa kwa akili za namna hii hii za hawa madogo wa Gen Z, watafika mahali kila mtaa utataka kuwa na serikali yake na uporaji unakuwa ndio sheria ya kila siku mtaani.
Wengine hawaoni haya mazara wao wanachukulia poa na kuona ndio ujanja
Asa kwenye machafuko amani itakuaje?
 
Wakenya ni wapuuzi, vitu ambavyo vinazungumzika kwa njia ya demokrasia wao wanaona sifa kufanya vurugu,

Wamechagua ugali maharage na pilipili tena kwenye vita.

Kingine jeshi la kenya ni dhaifu sana tena dhaifu mno.
Pakichafuka tunafunga mipaka hatutaki wakimbizi wakikenya waje tuaribia nchi yetu
 
Alaf mkaishia kula wali akati wenzenu nyuma wamekufaa nyie ni mazuzuuuuu
 
Finance bill yetu tulitaka vitu kama tozo kwenye gas itoke na wameitoa bila hata kuandamana na kuvamia canteen ya bunge
 
Wataiangushaje Serikali Halali iliyochaguliwa Kikatiba Kisheria na Kidemokrasia?!
Wana akili kama za chadema wenu always kufikiria fujo ndio suluhu ila uzuri wa gen z wa Tanzania tunajielewa
 
Usimfananishe rais wetu na huyo mbutika uko ..kua na adabu

..Rais Samia alisema ameyapuuza maandamano na madai ya Chadema.

..Rais Ruto na bunge lake walipuuza maandamano na madai ya wananchi wao.

..binafsi nahoji BUSARA ya kiongozi kujitapa hadharani kwamba anapuuza malalamiko na hoja za watu anaowaongoza.

..Rais wetu amefikia mpaka kujiita " chura kiziwi " kwa maana kwamba yeye ni kiongozi aliyemsikiliza malalamiko na madai ya anaowaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…