Fikiria tena ulichofikiria! Kaa chini tuliza kichwa na ufikirie vizuri. Kuna sisi wengine bibi zetu miaka hiyo waliolewa kwa shilingi 50 tu! Na walidumu kwa zaidi ya miaka 80!muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo,ndio maana wanaachana hovyo hovyo
Marafiki zangu wengi hawaja divorce ni miaka kama minne hivi, wakristo gharama tatizo zinawaangusha na process NJ ndefu sijui fungate, sendoff hata Kwa bible havipo.Buddy mtu anaweza kuoa mwanzo wa ramadhani halafu akaacha mwisho wa ramadhani huyo hana cha kupotezq tofauti na huyu wa mpka kifo
Bahati ipi?Ndoa za kiislamu ni simple, non historical and hot a big deal
Jamaa wana bahati Sana
Ndoa si suala la dini bali utashi wa mtu mradi wahusika wawe wana uwezo wa kuingia kwenye taasisi hii. Tumia akili japo kidogo kabla sijakushushia mitusi nipapigwa ban. Na kipindi hiki ikitokea nikapigwa ban naachana na ujinga wa wa hii forums ya kujifanya wao ndiyo wenye hati milki ya fikra. Kwani silipwi kushiriki. Shame on moderator. Ngoja nilikoroge ili nipate kuachana ujinga huuWakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa kikristo hawaoi kama wa kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakink wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa.
Je chanzo ni nini? Mbona vijana waki-ostaz wanaoa kila kukicha na wagalatia hatuoi? Tunaogopa nini?
Umevurugwa na nini? Au offer ya bia za bure? Kosa lake ni lipi?Ndoa si suala la dini bali utashi wa mtu mradi wahusika wawe wana uwezo wa kuingia kwenye taasisi hii. Tumia akili japo kidogo kabla sijakushushia mitusi nipapigwa ban. Na kipindi hiki ikitokea nikapigwa ban naachana na ujinga wa wa hii forums ya kujifanya wao ndiyo wenye hati milki ya fikra. Kwani silipwi kushiriki. Shame on model. Ngoja nilikoroge ili nipate kuachana ujinga huu
Kwa sasa jamii nyingi zinajuwa umuhimu wa elimu, kwahiyo hoja yake haina uhalisia.Waislam hawasomeshi watoto sana. Mkristo kabla hujaoa unawaza watoto wanatakiwa wafike chuo kikuu hawa.
Hii ni sababu namba 70
Sahihi kabisaNadhani hujafikiria Wala hujataka hata kutumia akili za kawaida kwa suala kama Hili.
Vijana wa kiislam inakuwa rahisi kwa kuwa kwanza ndoa sio gharama, lakini pia kuna option ya talaka wakishindwana.
Wakati vijana wa kikristo kwanza gharama ni kubwa ya ndoa/harusi, halafu ni hadi kifo kiwatenganishe.
Kwa hiyo inahitaji mwanaume aamue chaguo sahihi, pia ajipange kukamisha Hilo zoezi.
Na wao wanaachana/tengana ila sio kama waislamu