Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Wakristo talaka inaruhusiwa piaNadhani hujafikiria Wala hujataka hata kutumia akili za kawaida kwa suala kama Hili.
Vijana wa kiislam inakuwa rahisi kwa kuwa kwanza ndoa sio gharama, lakini pia kuna option ya talaka wakishindwana.
Wakati vijana wa kikristo kwanza gharama ni kubwa ya ndoa/harusi, halafu ni hadi kifo kiwatenganishe.
Kwa hiyo inahitaji mwanaume aamue chaguo sahihi, pia ajipange kukamisha Hilo zoezi.
Na wao wanaachana/tengana ila sio kama waislamu