Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Baadhi ya sababu ni hizi;Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa kikristo hawaoi kama wa kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakink wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa.
Je chanzo ni nini? Mbona vijana waki-ostaz wanaoa kila kukicha na wagalatia hatuoi? Tunaogopa nini?
1. Kwa waislamu kuachana ni rahisi sana... unaweza ukaoa saa 1 lakini saa 2 ukaacha, tena kwa talaka
2. Kwa wakristo, ukishafunga ndoa, kuachana ni process ndefu na ina kila dalili za kukufanya usiache.
3. Kwa waislamu, ndoa ni kama jambo la wawili wanaofunga ndoa.. lakini kwa wakristo, ndoa ni jambo la familia mbili. Hivyo mtu lazima awake kwa kina
4. Wakati wa kufunga ndoa, wakristo husema... MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHA... lakini kwa waislamu hawahusishi kifo na ndoa... wao wanasema ikibidi kuachana basi tuachane kwa amani.. SASA MAHALA PENYE AMANI, KUACHANA KUNATOKA WAPI..!!???