Marley joseph
Senior Member
- Feb 9, 2019
- 126
- 137
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]makobasiNdoa ya kiislamu 120,000 inatosha. wakati hiyo hela ni ya mkanda na tai.
Suti shati na kiatu unafunga harusi kumi za kiislamu.
Bajeti ya harusi ya kiislamu.
1. Hina 5000
2.Ubani 1500
3.Unga ngano kg 25 kwa ajili ya mandazi.
4.Sukar. Majani ya chai
5.Kukodisha vikombe 5000
6.Pilao. Mchele kg 20
7. Nyama kg 2(huwa hawapendi sana nyama chamsing pilao)
8. Mziki 40,000
9. Makobasi 8,000
10. Kanzu tutaazima kwa shehe juma
Waislamu wanaraha kwenye kuoa.
Kule kwetu uchagan pete sherehe.Wazaz Kuona nyumban kwa mke sherehe. Wazaz Kuona nyumban kwa mume sherehe. Sendoff sherehe. Harusi sherehe. Kuvunja kamati sherehe.
Gharama ndo inafanya wakristo wanachelewa kuoa.
Mshamba wa wapi we kuachana ni zama izi tumeshuhudia ndoa za gharama kubwa ziko wapi hata mastar wa bongo Tena watu wa injiliMuislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Mbona unatumia hoja za kitoto kabisa.Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Muislam barua unatuna na elfu 30 ndani inajibiwa kuwa umekubaliwa na harusi ukiwa na elfu 60 umemaliza fasta tuu .njoo kwa wakristo sasa mara shuka la bibi mara kitenge cha shangazi mara koti la babu mara redio ya picha na kabati la mbeho au pikapu la nyasi sa ng'ombe ndio maana tunaogopa kuoa tunaishia kutandika mimba unalala mbele baadae unaandaa hela kidogo kama faini ya matunzo ya mtoto unachukua mwanao mama yake anaishia kwao kuuza ndizi visukari na beseni barabaraniWakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa.
Je, chanzo ni nini? Mbona vijana waki-ostaz wanaoa kila kukicha na wagalatia hatuoi? Tunaogopa nini?
Najuwa wajuwa ila umekuja kupima upepo.Ni kwamba wakristo wengi hawafungi ndoa kwakuwa wanamuda zaidi kujiandaa kisaikolojia,pia huchukulia tukio muhimu hujipa muda kujiandaa,wenzetu hawa marafiki zetu na nimesoma kwenye shule zao.Wakiwa na sh50au laki kwisha.Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam?
Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona.
Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa.
Je, chanzo ni nini? Mbona vijana waki-ostaz wanaoa kila kukicha na wagalatia hatuoi? Tunaogopa nini?
Ha ha makobasi ya nini tena [emoji3][emoji3]Ndoa ya kiislamu 120,000 inatosha. wakati hiyo hela ni ya mkanda na tai.
Suti shati na kiatu unafunga harusi kumi za kiislamu.
Bajeti ya harusi ya kiislamu.
1. Hina 5000
2.Ubani 1500
3.Unga ngano kg 25 kwa ajili ya mandazi.
4.Sukar. Majani ya chai
5.Kukodisha vikombe 5000
6.Pilao. Mchele kg 20
7. Nyama kg 2(huwa hawapendi sana nyama chamsing pilao)
8. Mziki 40,000
9. Makobasi 8,000
10. Kanzu tutaazima kwa shehe juma
Waislamu wanaraha kwenye kuoa.
Kule kwetu uchagan pete sherehe.Wazaz Kuona nyumban kwa mke sherehe. Wazaz Kuona nyumban kwa mume sherehe. Sendoff sherehe. Harusi sherehe. Kuvunja kamati sherehe.
Gharama ndo inafanya wakristo wanachelewa kuoa.
Sio kwa jamii ile (sijui ni jamii gani)Kwa sasa jamii nyingi zinajuwa umuhimu wa elimu, kwahiyo hoja yake haina uhalisia.
kanzu haivaliwag na choma moyo au rabaHa ha makobasi ya nini tena [emoji3][emoji3]
Ila kiukweli waislam nawapenda hawana complications kwenye suala la kuoa
Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Hayo mawazo mgando! Kuna jamaa alilipa mahari milion tatu,ile ndoa ilidumu kwa miezi sita tu.hivyo kiasi cha mahari hakiweki gerentii ya ndoa kudumu, unaweza kulipa mahari elfu 20 ndoa ikadumu,na unaweza kulipa mahari milioni tatu ndoa ikadumu,na vice versa is trueMuislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Bora wao wanaachana kuliko nyie mnaojinyongaMuislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Huyo jamaa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo,anadhani mahari kuwa kubwa ndo ndoa kudumu,kumbe msingi wa ndoa kudumu ni maridhiano ya wanandoa,tena mahari ikiwa kubwa sana inaweza kuleta hasadi tu kwa muoaji na familia ya muolewaji,ukawa uhasama tu badala ya unduguFikiria tena ulichofikiria! Kaa chini tuliza kichwa na ufikirie vizuri. Kuna sisi wengine bibi zetu miaka hiyo waliolewa kwa shilingi 50 tu! Na walidumu kwa zaidi ya miaka 80!
Watu wanachanganya ndoa na harusi, hivi hawajui kuwa ukilipa mahari unaweza kuchukua watu kadhaa mukafungishwa ndoa kanisani au msikitini ikawa imeisha hiyo, bila hata kukodi ukumbi!Ndoa za kikristo si gharama sema ni uamuzi wa mtu binafsi. Kuna ndoa nyingi na zijua zimefungwa zile misa za saa kumi na mbili asubuhi, mbili kati ya hizo wasimamizi walikuwa wazazi wangu, wamefunga asubuhi misa ya saa 12,saa 12 na nusu washamaliza na kurudi kwenye shughuli zao.
Hivi umeandika ili mradi uwandike au ulifikiria japo kido,Muislamu anaoa kwa elfu 20 mahari unadhani kuna ndoa hapo, ndio maana wanaachana hovyo hovyo.
Kuoa mwanamke kiislam ni simple Sana.Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam?