Vijana wa Kiume badilikeni

Hakuna kitu rahisi. Jambo la msingi fanya sehemu yako kadri uwezavyo.

Mambo mengine yatakuja yenyewe.
 

Umeongea point sana,,,tatizo jamii inajitia upofu....wanachojua ni kutupa lawama tu,,na sio kujua chanzo na jinsi ya kutatua...wao wanachojua ni kutupa lawama,,,,hakuna mtoto wa kiume anaependa kukaa kilofa...au mpaka watu waanze ujambazi ndo muamini hakuna mtoto wa kiume anaependa kukaa kirofa,,,ni basi tu nchi yetu ni ya amani...ila ata Nigeria ilianzia hivi hivi,,now u can see jinsi walivyokuwa wataalamu kwenye utapeli na umafia
 
Aisee inasikitisha kwa kweli,mtu anakuja kushtuka muda tayar umekwisha...
 
yaaani acha tu sisi wafrica kulipana bila kudhurumiana hatuwezi sijui kwanini
 
Tafadhali usitufananishe na huyo mtoto wa ndugu yako tuombe radhi.
Hakuna mtu anaombwa radhi hapa

Ujumbe huu kama haukuhus basi achana nao, lakini this is naked truth, kama wewe siyo miongoni mwao bas shukuru Mungu na uwaombee ambao bado wapo gizan
 
Sema mimi, il kuna wanaume wavivu balaa, hawataki kabisa kuchosha mwili

Tembea uone kaka
 
Nawezaje kusema wanaume wote????

Naongelea kundi ndogo tu la vijana wa kiume hasa miaka 21-30 wengi wakiwa waliosoma
 
Hakuna mwanaume anayependa kukaa kifala tu..kuna wachache tu.

Na hizo kazi wanazofanya wanawake zinafanana nao..leo mwanaume ukitembeza ubuyu mtaani madume menzako yatakuchunia kununua,ila mtoto wa kike watanunua huku wanamchombeza..same applies kwa wapika uji wanaotembeza kwenye vijiwe.

Lakini pia hawa wanaofanya biashara standard wengi wao nyuma kuna sponsors..tusiwadharau sana vijana ambao hawana hata cha kuanzia...tatizo hili sio la vijana ni la jamii kwa ujumla.
 
yaaani acha tu sisi wafrica kulipana bila kudhurumiana hatuwezi sijui kwanini
Kampuni ikishaingiwa na utawala wa mtu mweusi hapo lazma mambo hayo yajitokeze sijui tuna laana gani! Kwanza mshahara kama hutadhulumiwa basi kama ulikuwa unalipwa 20,000 kwa lisaa mbongo akiinga hapo utashaangaa buku 2 kwa saa!
 
Hahahahah najaribu ku imagine dume zima na midevu umeshika pakti za ubuyu 🀣🀣🀣 au unatembea na chupa la uji na vikombe kwanza wahuni hawatanunua!

Kazi hio inawafaa watoto wa kike na wengine wananunua sababu ya mvuto wa watoto wakike wenyewe katika mbinu zao za kijasusi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…