Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Tuache utani kujiajiri bila mtaji haiwezekani kwa kipindi hichi waacheni tu hao vijana tulionza na mtaji wa shilingi elf 50 mpaka kuifiki mil 1 tunafahamu shughuli yake ni ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu rahisi. Jambo la msingi fanya sehemu yako kadri uwezavyo.Nafahamu sio wote wanaobweteka ila unapowahukumu vijana wote basi utakuwa unakosea maana kuna wengine wanahitaji muongozo wa kushikwa mkono, Ngoja nikupe ushuhuda kiufupi.
Mimi hapa, nilianza kazi ya saidia fundi nikiwa ndogo sana, nikaingia kujifunza computer na ufundi wake mtaani nikamaliza . Likatokea zari la mentali Wahindi wakatangaza ajira kwenye machine ya kuprint nikaajiriwa nimefanya nao miaka miwili wakarudi kwao India machine wakamuuzia Mtanzania, huyo ndo akaja kuwa na roho mbaya kama unavyo fahamu Africa people tulivyo, akanidhurumu mshahara wa mwaka mzima, nikaamua kujiengua,
Nikaingia mtaani nikajifunza umeme wa majumbani hapa sasa sikuwa na jina mtaani wala connection nikawa sipati kazi nikaona bola niachane na umeme maana hata mwalimu aliye tufundisha alikuwa na karoho kakuto kuruhusu upate nafasi ya kujitegemea ila uebdelee kuwa mtumwa wake.
Nikaingia kwenye mafunzo ya upakaji wa rangi ambayo yaliletwa na waTuruck,hapa nikaiva nikapata kazi kadhaa ila shida ikaja katika malipo ikawa unalipa pesa ndogo zingine mpaka umalize kazi, ukimaliza kazi nimwendo wa kuzungushana na kudhurumiwa.
kuna ushuhuda mrefu tu natamani nifunguke ila mimi kama mimi katika hari hiyo unadhani nitabaki katika nafasi gani,
mpaka nashindwa nifanye kitu gani, nipo nipo tu ila sio kwa kupenda
Sasa anaingia kuuza matunda mtaani bila mtaji?
Hakuna mtu anaeweza kukaa kwa kupenda bila kuingiza kitu watoto wa kiume sisi misoto yetu huwezi fananisha na watoto wa kike. Mwanaume unaweza kukaa huna hata buku wiki nzima na una hujui unaipata wapi na huna kazi na kwenu mabovu.
Huwezi fananisha nyinyi watoto wa kike na watoto wa wakiume hata kidogo, unavyosema wanacheza sijui vikoba tunawaona wengi tu wanalipiwa na vidume mitaji midogo midogo ya biashara pia mnapewa na masponsor wengine hata mpaka mpaka magari.
Kwa mwanaume tena uliekulia familia ya milo milwili na wawazi wanakutegemea hiyo hela ya kuuza matunda au mama lishe unaitoa wapi kama sio uzunguke na bahasha ili upate kazi ndio upate kianzio.
Wapeni vianzio basi kama mtu anatashindwa kufanya kitu huyo kweli atakuwa na shida sio mnawasema watu tu bila kuwasidia... Mtu kaja kwako siku moja tu umeashaanza kumjaji ulitaka afanye nini sasa kama ni mgeni hapo na hana wenyeji na wala hajaja kwa ajiri ya biashara?.
Mi ndio maana kwa ndugu siendagi kabisa bora uende kwa washikaji kama huna hela ya gest.
Nyie ni wale wale,
Siezi enda kwa mtu nikalala mpaka saa tatu hata kama sina kazi
Uwezi kuamka ukasaidia hata kuchota maji, kufagia kumwagilia maua???
Acha kutetea Ujinga
kaka umesema kweli kabisa yaan......Kuna hili kundi ambalo pia linaonekana ni super women! Kumbe bure tu wanakaa kwenye vifremu wanapiga mizinga wabustiwe kodi na mtaji deile! Danga akiamsha unashangaa tu mtu biashara imemshinda[emoji23]
yaaani acha tu sisi wafrica kulipana bila kudhurumiana hatuwezi sijui kwaniniNafahamu sio wote wanaobweteka ila unapowahukumu vijana wote basi utakuwa unakosea maana kuna wengine wanahitaji muongozo wa kushikwa mkono, Ngoja nikupe ushuhuda kiufupi.
Mimi hapa, nilianza kazi ya saidia fundi nikiwa ndogo sana, nikaingia kujifunza computer na ufundi wake mtaani nikamaliza . Likatokea zari la mentali Wahindi wakatangaza ajira kwenye machine ya kuprint nikaajiriwa nimefanya nao miaka miwili wakarudi kwao India machine wakamuuzia Mtanzania, huyo ndo akaja kuwa na roho mbaya kama unavyo fahamu Africa people tulivyo, akanidhurumu mshahara wa mwaka mzima, nikaamua kujiengua,
Nikaingia mtaani nikajifunza umeme wa majumbani hapa sasa sikuwa na jina mtaani wala connection nikawa sipati kazi nikaona bola niachane na umeme maana hata mwalimu aliye tufundisha alikuwa na karoho kakuto kuruhusu upate nafasi ya kujitegemea ila uebdelee kuwa mtumwa wake.
Nikaingia kwenye mafunzo ya upakaji wa rangi ambayo yaliletwa na waTuruck,hapa nikaiva nikapata kazi kadhaa ila shida ikaja katika malipo ikawa unalipa pesa ndogo zingine mpaka umalize kazi, ukimaliza kazi nimwendo wa kuzungushana na kudhurumiwa.
kuna ushuhuda mrefu tu natamani nifunguke ila mimi kama mimi katika hari hiyo unadhani nitabaki katika nafasi gani,
mpaka nashindwa nifanye kitu gani, nipo nipo tu ila sio kwa kupenda
Tatizo wanatuona sisi hatuna akili hawakaka umesema kweli kabisa yaan......
Sio wanakuona je hawakupi hata hiyo michongo yenyewe mpaka twende sehemu mbali na home ambako hawajui id ya muhusika
Hakuna mtu anaombwa radhi hapaTafadhali usitufananishe na huyo mtoto wa ndugu yako tuombe radhi.
Hili ni tatizo sana,Kwani kabla ya hapo hizo kazi alikuwa anafanya nani??? Kuja kutembea mara moja ndo iwe shida??!!
Sema mimi, il kuna wanaume wavivu balaa, hawataki kabisa kuchosha mwiliUmeongea point sana,,,tatizo jamii inajitia upofu....wanachojua ni kutupa lawama tu,,na sio kujua chanzo na jinsi ya kutatua...wao wanachojua ni kutupa lawama,,,,hakuna mtoto wa kiume anaependa kukaa kilofa...au mpaka watu waanze ujambazi ndo muamini hakuna mtoto wa kiume anaependa kukaa kirofa,,,ni basi tu nchi yetu ni ya amani...ila ata Nigeria ilianzia hivi hivi,,now u can see jinsi walivyokuwa wataalamu kwenye utapeli na umafia
Nawezaje kusema wanaume wote????Nafahamu sio wote wanaobweteka ila unapowahukumu vijana wote basi utakuwa unakosea maana kuna wengine wanahitaji muongozo wa kushikwa mkono, Ngoja nikupe ushuhuda kiufupi.
Mimi hapa, nilianza kazi ya saidia fundi nikiwa ndogo sana, nikaingia kujifunza computer na ufundi wake mtaani nikamaliza . Likatokea zari la mentali Wahindi wakatangaza ajira kwenye machine ya kuprint nikaajiriwa nimefanya nao miaka miwili wakarudi kwao India machine wakamuuzia Mtanzania, huyo ndo akaja kuwa na roho mbaya kama unavyo fahamu Africa people tulivyo, akanidhurumu mshahara wa mwaka mzima, nikaamua kujiengua,
Nikaingia mtaani nikajifunza umeme wa majumbani hapa sasa sikuwa na jina mtaani wala connection nikawa sipati kazi nikaona bola niachane na umeme maana hata mwalimu aliye tufundisha alikuwa na karoho kakuto kuruhusu upate nafasi ya kujitegemea ila uebdelee kuwa mtumwa wake.
Nikaingia kwenye mafunzo ya upakaji wa rangi ambayo yaliletwa na waTuruck,hapa nikaiva nikapata kazi kadhaa ila shida ikaja katika malipo ikawa unalipa pesa ndogo zingine mpaka umalize kazi, ukimaliza kazi nimwendo wa kuzungushana na kudhurumiwa.
kuna ushuhuda mrefu tu natamani nifunguke ila mimi kama mimi katika hari hiyo unadhani nitabaki katika nafasi gani,
mpaka nashindwa nifanye kitu gani, nipo nipo tu ila sio kwa kupenda
Hapo ndipo utu wa mwaafrica hupotena na imani kutowekayaaani acha tu sisi wafrica kulipana bila kudhurumiana hatuwezi sijui kwanini
Kampuni ikishaingiwa na utawala wa mtu mweusi hapo lazma mambo hayo yajitokeze sijui tuna laana gani! Kwanza mshahara kama hutadhulumiwa basi kama ulikuwa unalipwa 20,000 kwa lisaa mbongo akiinga hapo utashaangaa buku 2 kwa saa!yaaani acha tu sisi wafrica kulipana bila kudhurumiana hatuwezi sijui kwanini
Hahahahah najaribu ku imagine dume zima na midevu umeshika pakti za ubuyu 🤣🤣🤣 au unatembea na chupa la uji na vikombe kwanza wahuni hawatanunua!Hakuna mwanaume anayependa kukaa kifala tu..kuna wachache tu.
Na hizo kazi wanazofanya wanawake zinafanana nao..leo mwanaume ikitembeza ubuyu mtaani madume menzako yatakuchunia kununua,ila mtoto wa kike watanunua huku wanamchombeza..same applies kwa wapika uji wanaotembeza kwenye vijiwe.
Lakini pia hawa wanaofanya biashara standard wengi wao nyuma kuna sponsors..tusiwadharau sana vijana ambao hawana hata cha kuanzia.