Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Ndaga fijo mwee, bhali na matingo fijo abhajanga abha. Aseeee! Twe bha Ndimyake Mwakalyelye
 
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.


Kweli kabisa, ila umesahau sifa moja, na WANAFIKI.
 
Waongo sana tena wanyanyasaji ni watu wa kujiskia sana kuna mmoja huyo kaoa bara ni darali anamnyanyasa mkewe sana,hamnunulii chochote hata nguo za ndani zaidi ya kula tu amepga marufuku ndg wa mke wake kuja pale lkn mke skimuomba pesa ili atume kwa ndg zake jamaa hatia hata cent,inabidi mwanamke afanye kazi za baa ili ajisaidie lkn pia asaifie ndgze wakat bwana hakosi kwenye acount 15ml as hayo ni mambo gani na kila anunuacho hamshilikishi mwenzie kakata bima as matibabu 3 lkn kambagua mke wake watu hawa ni shida sana haswa wakyela mbeya kwao na mwakyembe ni watu wa kujiskia .
 
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele

Ni miongo, minyanyasaji, ilivyojaa Wivu, Majungu, ushamba, fitina na kutojitambua.
 
WATU WA MBEYA HASWA KABILA LA WANYAKYUSAA,

NI WABAGUZI HATARI SANA KAMA WEWE SIO MNYAKYUSAA UTABAGULIWA
 
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Hakuna kulicho kupelekea ku comment hivi zaid ya vimelea vya siasa vinavyo wasumbua wana CCM wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…