Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Niachie kaka zangu tafadhaliMmmmmh!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niachie kaka zangu tafadhaliMmmmmh!!!!!!!
Hahahaaaa!! Nimewaacha.Niachie kaka zangu tafadhali
Teh karibu matoke na maparachichiHahahaaaa!! Nimewaacha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh karibu matoke na maparachichi
Sista upo? Naona kuna watu wanataka kutuharibia sifa humu. Nikipiga shati langu la pinki la kung'aa ntakosaje kuwa mstaarabu?Niachie kaka zangu tafadhali
Ndaga fijo mwee, bhali na matingo fijo abhajanga abha. Aseeee! Twe bha Ndimyake MwakalyelyeHapana mkuu hiyo sifa ya uchawi na ukatili imebaki mkoa mpya wa Songwe hao ndio walikuwa wanaharibu sifa za mbeya,kwa kawaida wanyakyusa hawana tabia za ukatili sijui kuchuna ngozi hao ni wanyiha wa Mbozi ambayo kwasasa ni makao makuu ya mkoa mpya wa songwe.
Mwe banyafyale mulipoooo, abhankisu kinunu,bhasitalimo, bhifyusi, abhamahala , twe bhyimbi, Kyala atufigwegeeeeee
Mwe
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matanga gha nyoko
Ngimba jo ugwe MwaCajojo [emoji23] [emoji23] kaniacha hoi sana aliekuita hivyo.Ujobhile mnyambala
Gigi maneMhh! Labda wavulana ila wasichana, wamama na wanaume wa mbeya ni shida a
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
mzee yupo tukuyu migombani huko full green baridi kama ulaya.View attachment 530497 gentleman
Hakuna kulicho kupelekea ku comment hivi zaid ya vimelea vya siasa vinavyo wasumbua wana CCM wengiMaisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Kama umejua jua ni weak discussion kwa nn umeandika kwenye uzi, kujifanya wajuaji utakuja kukostikaWeak minded guys discussions