Heading yako inasema nini au Haujasema siku hizi wanachagua kazi ?
Betting ni Kazi ? Au hata haujui maana ya kazi ? Na kizazi hiki cha betting kinalishwa na uvivu wa Vijana au Serikali kuwa-convince na kuwa-indoctrinate watu kwamba you can win on betting ? Matangazo kila kona sababu tu Serikali inachukua 10 percent ya kila win.... Sasa ndio maana nikasema siku hizi watoa Hoja maneno yao hayana Historical Facts kwahio heading to inaweza kufanya content ikawa void..., Hizo unazoongelea hapo ni addiction wala hazina ujana wala uzee....
Kwahio uwepo wa Pombe za bei rahisi ni kosa la vijana na sio watunga sera kutokuwa na mikakati ya kuleta policy za kuhakikisha ajira zenye ujira ?!! Sasa hivi hapa wala hatuongelei tena uchagua kazi wa wazee wa sasa (vijana wa zamani) na vijana wa sasa tuonaongelea policy mbovu za kutokuwa na ajira zenye ujira..., Tangaza kazi leo ambayo vijana wa zamani wasingekwenda hata mmoja utaona wangapi wata-apply hata kama utawapeleka huko in the middle of no-where
'I am the wisest man alive, for I know one thing, and that is that I know nothing.' - Kwahio kwa kujua kwangu kwamba nina-lack knowledge naendelea na nitaendelea kujifunza tofauti na wewe unayedhani unajua utaendelea kubaki na ujuaji wako (Hujui kwamba Hujui).... : ila facts ni kwamba in comparison wa sasa na wa zamani.., vijana wa zamani walichagua kazi.... (na options walikuwa nazo)