ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!