Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Sio wewe ndo hovyo?

Mtu anajilinda na magonjwa then wewe unamwita wa hovyo..

Na what is Jumatatu by the way?..unajua anafanya ishu gani na ratiba zake zikoje?..au unadhani kila mtu anafanya kazi za kufanya jumatatu mapema tu asubuhi awe kazini?
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Labda Katoka shift ya usiku. Yeye ni mlinzi ndo karudi kunyoosha goti nyumbani. Usihukumu bila kuuliza. Sio kila mtu anafanya kzi j3
 
Mimi nilikuwa nafanya kazi mizani ubungo pale lipo jengo la tanesco na tulikuwa na shift unatoka pale jirani kilikuwa na bar inaitwa Port access corner bar Maquis wanapiga pale au safari sound inakujia hamu ukaangalie kwa ochovu uliokuwa nao uwezi zaidi ya kwenda nyumbani kulala kama gunia maana zamani kazi ni kazi sio kutwa vijana mpo kwenye simu mara computer zama hizo kazi kazi kweli
That was then and this is now...
If you live in the past the future will never find you.
 
Acha kuingilia mambo ya watu..mimi nilimshangaa sana mama yangu mzazi siku nimekwenda kumtembelea nikampa begi langu anihifadhie ndani ya begi lile kulikuwa na condom, nilikuta amelisachi na condom zangu hazionekani ......nilipomuuliza mbona baadhi ya vitu vyangu sivioni alinijibu kwa ukali
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Sasa tunaouza hizo condom hela ya chai tuitoe wapi kama tusipopata wateja asubuhi na mapema?

Huyo kijana nampongeza amechukua zana mapema, popote zitamlinda kwenye harakati zake.
 
Uchumi mgumu sikuhiz itakuwa alisahau kwamba ilitakiwa anunue mkate
 
Acha kuingilia mambo ya watu..mimi nilimshangaa sana mama yangu mzazi siku nimekwenda kumtembelea nikampa begi langu anihifadhie ndani ya begi lile kulikuwa na condom, nilikuta amelisachi na condom zangu hazionekani ......nilipomuuliza mbona baadhi ya vitu vyangu sivioni alinijibu kwa ukali
We jamaa comments zako....ha ha ha...ko ikawaje?
 
Tuachane na uzinzi.

Niambie hao vijana wa Nyerere waliifanyia nini nchi hii? Tumeikuta nchi gizani, barabara mbovu, maji ya bomba hakuna, njaa kila mwaka na umasikini totoro plus ujinga....walifanya kitu gani?
Nimekumiss🥰
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Ndio maana ww una presha.
Take it easy!!
life is for living enjoy
 
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
sawa bibi umesikika
 
Kufatilia mambo ya watu mpaka unapata presha ni hatari.. Bora huyo kijana alikumbuka kuilinda afya yake.. Wewe unaiua kwa kufatilia mambo ambayo hayakuhusu..

Wtf kama amekesha kazini usiku na Leo yupo off?.. N. K
 
Unaona wivu unataka uliwe wewe
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.

Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu

Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
 
ndo maana mvua hazinyeshi kwa wakati sahihiiii coz tumeendekeza viunoo
 
Kwahio angepiga kavu kwaajili wewe usimuone wa hovyo? Au kama unaona muda sio rasmi je, mbona huzungumzi kwamba muda unaolala yeye hukesha?
 
Mnateteana ujinga kabisa vijana ovyo kabisa
Mkuu mtu anaenda kupunguza nyege zake ww unataka abake ili baadae muanze kusema tena??? maisha usikariri eti ikifika jumatatu ndo siku ya kazi kuna watu wanafanya kazi weekend tu na wana mtonyo mkubwa kuliko sisi tunao amka na kuegesha tu usiku maana tuko busy hatari huku maisha yakiwa bado tunayapambania ..cha msingi tusipende kupangiana maisha.
 
Back
Top Bottom