luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Dah kwenye ule uzi wa machafuko congo [emoji1078] umekiwasha [emoji23][emoji23][emoji23]Maisha binafsi ya mtu tusiyaingilie.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kwenye ule uzi wa machafuko congo [emoji1078] umekiwasha [emoji23][emoji23][emoji23]Maisha binafsi ya mtu tusiyaingilie.
Hupo sahihi kabisa mkuu,Umasikini wa nchi hii ulianza na vijana wa Nyerere na Nyerere mwenuewe..
Watu wakati wa masika walilimishwa mashamba ya ujamaa tena kwa kusakwa na mgambo badala ya kulima mashamba yao wenyewe.
Ingefaa tungekuwa na akina Mwamindi 100 wapige shaba hao migambo na viongozi type ya akina Kleruu.
Pua pua kabisa
Yule alikua mdomo tu vitendo hapana ndio mpaka leo taifa lipo hivo hivo mdomo tu vitendo zero.Nyerere alikurupuka mno. Aliwafukuza wazungu wakakimbia na kuviacha viwanda lukuki ingali wazee wetu wakiwa hawana hata uzoefu wa kuviendeleza, vikajifia kifo cha mende.
Ungekuwa makini leo hii usingekuwa na hiyo pressureLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Ukubwa na faida zake sasa. Hiki ndicho kinywa cha mkubwa, hunena yaliyo mema tu. Hekima yako haimithiriki.Pengine alikesha sasa ni muda wake wa kwenda kupumzika na kufanya mengine, na kwakununua condom inaonesha anajali afya yake
Ndo maana unaumwa presha kwa sababu una uwezo wa kawaida sana kupambanua mamboLeo sikuwa na bakora nishamtandika enzi za mwalim uwezi kukuta vijana ovyo kama hivi
HII NCHI INA WATU WAGONJWA SANA, ASB ASB DAWA ZA PRESHA!Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Fuata mambo yako sio wote wanafanya kazi za mchana au asubuhi, pia huyo anajali sana afya yake na pia alichofuata ni kama wewe ulichofuata ni muhimu sana kwakeLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Nyerere aliacha viwanda kibao, fatilia historia. Viwanda vilikufa na kubinafsishwa awamu ya pili na ya tatu ikamalizia.Nyerere alikurupuka mno. Aliwafukuza wazungu wakakimbia na kuviacha viwanda lukuki ingali wazee wetu wakiwa hawana hata uzoefu wa kuviendeleza, vikajifia kifo cha mende.
Hata burudani ni uzalishaji pia, ni kama mwanamuziki anavyozalisha burudaniLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondomu
Kweli hii nchi kazi ipo daaah!
Sasahivi umeruhusiwa kumiliki tv ndo ununue kondom saa 12 asubuhi!!!??? Enzi hizo tv haikuwa chombo cha kawaida kama hivi sasa, ilikuwa kitu cha amasa na gharama mno na kwa kipato cha mtu mmoja mmoja enzi hizo ungenunua tv lazima uhojiwe umepata wapi pesa mdefu kiasi cha kununua hiyo kitu. Hata huko xilipokuwa zinatoka walikuwa wanamiliki watu wenye uwezo na si kila mtu.Hupo sahihi kabisa mkuu,
Mwalimu ndio chanzo cha taifa hili kua hivi lilivo kwa sera zake mbaya eti kumiliki tv ndani we ni muhujum uchumi mambo ya hovyo kabisa yameanzia huko.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Vijana wa juzi mkishavuta bangi zenu mnaandika chochote!Yule alikua mdomo tu vitendo hapana ndio mpaka leo taifa lipo hivo hivo mdomo tu vitendo zero.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app