ametoka kazini shift ya usiku, acha shoboLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Pengine alikesha sasa ni muda wake wa kwenda kupumzika na kufanya mengine, na kwakununua condom inaonesha anajali afya yakeLeo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana nayeye anapata huduma yeye kafata kondom anasema anaenda kazini hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji anahangaika na kondom kweli hii nchi kazi ipo daaah
Tuachane na uzinzi.Leo sikuwa na bakora nishamtandika enzi za mwalim uwezi kukuta vijana ovyo kama hivi
Enzi zetu tulikuwa na displin wewe kijana uwezi fananisha enzi zetu na hizi za sasaTuachane na uzinzi.
Niambie hao vijana wa Nyerere waliifanyia nini nchi hii?
Tumeikuta nchi gizani, barabara mbovu, maji ya bomba hakuna, njaa kila mwaka na umasikini totoro plus ujinga....walifanya kitu gani?
Mimi mtaniacha na ndio nagonga 81 sasa hii ngoma mpk 90 itafika insh AllahSikuombei mabaya lakn kati yako wewe unaenunua dawa ya presha na yeye anaenunua dawa ya dushe, wewe ndo safari yako bado fupi .
At some point uwache kiherehere
Kwani huko "ahera" kuna attendance register ya nan kawahi au kachelewa mkuu? Muache kijana, his life his choices.Mimi mtaniacha na ndio nagonga 81 sasa hii ngoma mpk 90 itafika insh Allah
Hili neno limeniuma nimekuchukia wewe kijanaKwani huko "ahera" kuna attendance register ya nan kawahi au kachelewa mkuu?
Muache kijana, his life his choices.
Hata wewe ungekuwaga serious na maisha kipindi hicho leo ungekua unatuma dereva akakuletee dawa ukiwa visiwani huko unapunga upepo. Lakn ndo hvo saa kumi na mbili uko dukani unaparangana. Ashakhum si matusi