Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

Hupo sahihi kabisa mkuu,
Mwalimu ndio chanzo cha taifa hili kua hivi lilivo kwa sera zake mbaya eti kumiliki tv ndani we ni muhujum uchumi mambo ya hovyo kabisa yameanzia huko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa makini leo hii usingekuwa na hiyo pressure
 
Mzee kila mtu anamfumo wa kutafuta pesa,wengine wanafanya kazi siku hizi online,ukute mshikaji anapiga kazi za usiku chance anayopata ya kufanya mambo yake ni asubuhi,sasa akuogope wewe kwani kwenye hilo duka limeandikwa unatakiwa kununua kondomu usiku?? Au wewe umekariri mapenzi lazima ya fanyike usiku??mapenzi mda wowote na mahali popote hamu zikipanda hata kwenye gari watu wananyanyuana fresh tu,kwanza mapenzi ya asububi matamu sana
 
Ni tym tuu zinatofautiana za kuzagumuana ww usiku yy asubui
 
Boss ulikumbuka kunywa dawa zako za presha lakini au ndo ukakimbilia kumuandikia uzi kijana wa hovyo??
 

Hukununua hizo condom ndo maana unanunua za pressure sasa... Wewe ndo utakuwa mtu wa hovyo
 
Pengine alikesha sasa ni muda wake wa kwenda kupumzika na kufanya mengine, na kwakununua condom inaonesha anajali afya yake
Ukubwa na faida zake sasa. Hiki ndicho kinywa cha mkubwa, hunena yaliyo mema tu. Hekima yako haimithiriki.

Mtoa mada hajajiuliza kwanini walinzi kazi zao ni za usiku lakini wao wake na watoto!
 
Umemwonea donge kijana anaenda kuchakata mbusus na juwa kali we na izo presha zako utafia kifuani, ila kula mbusus mchna raha maana unaiona hii apa
 
HII NCHI INA WATU WAGONJWA SANA, ASB ASB DAWA ZA PRESHA!
huyo kijana unaweza kukuta naye kajisemea hivyo
 
Fuata mambo yako sio wote wanafanya kazi za mchana au asubuhi, pia huyo anajali sana afya yake na pia alichofuata ni kama wewe ulichofuata ni muhimu sana kwake
 
Nyerere alikurupuka mno. Aliwafukuza wazungu wakakimbia na kuviacha viwanda lukuki ingali wazee wetu wakiwa hawana hata uzoefu wa kuviendeleza, vikajifia kifo cha mende.
Nyerere aliacha viwanda kibao, fatilia historia. Viwanda vilikufa na kubinafsishwa awamu ya pili na ya tatu ikamalizia.
 
Hata burudani ni uzalishaji pia, ni kama mwanamuziki anavyozalisha burudani
 
Hupo sahihi kabisa mkuu,
Mwalimu ndio chanzo cha taifa hili kua hivi lilivo kwa sera zake mbaya eti kumiliki tv ndani we ni muhujum uchumi mambo ya hovyo kabisa yameanzia huko.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sasahivi umeruhusiwa kumiliki tv ndo ununue kondom saa 12 asubuhi!!!??? Enzi hizo tv haikuwa chombo cha kawaida kama hivi sasa, ilikuwa kitu cha amasa na gharama mno na kwa kipato cha mtu mmoja mmoja enzi hizo ungenunua tv lazima uhojiwe umepata wapi pesa mdefu kiasi cha kununua hiyo kitu. Hata huko xilipokuwa zinatoka walikuwa wanamiliki watu wenye uwezo na si kila mtu.
 
Yule alikua mdomo tu vitendo hapana ndio mpaka leo taifa lipo hivo hivo mdomo tu vitendo zero.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Vijana wa juzi mkishavuta bangi zenu mnaandika chochote!
Hajawahi kupatikana kiongozi sampuli ya Nyerere hapa nchini. Kila chema unachokiona leo ni matunda yake kuanzia Umoja tulionao kama nchi, Miundombinu mingi tu kama viwanja vya ndege, vya mpira, Viwanda, Majengo ya serikali, mifumo ya uongozi wa nchi, jeshi letu, lugha moja kwa wote n.k n.k n.k na wakati huo ujue kipindi hicho kila aliyefanikiwa kwenda shule aligharamiwa na serikali kila kitu (haukuwa mkopo) na matunda yake ndo hawa viongozi unaowaona leo. Kumbuka wakati huo uchumi wa nchi ulikuwa chini sana lakini mwalim alimudu kufanya yote hayo kwa mapenzi mema aliyokuwa nayo kwa nchi hii.
 
Uzi mzuri unaweka wazi mgongano wa kimawazo na kimazingira baina ya kizazi cha zamani vs kizazi cha digitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…