Tamaa ya pesa tusio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?๐
Wewe una ngapi mkuu.Kumbe 40 tayar ni mtu mzima,,, woooiii wacha nimuache huyu
Ooh sawa mkuu. So 20s vs 40s ni sawa?under 18 vs above 50๐
actually, ndiyo...Ooh sawa mkuu. So 20s vs 40s ni sawa?
Wewe ulimlisha matango pori, ananiona kama vice shetani Yani ๐ ๐Unajua รฎle siku tulipigwa ban wote nikapambana nikatoka ๐น๐น๐น
Vipi sasa bff wangu simuoni umemficha wapi?
Naona kanitoroka kaja peke yake kukuona mgonjwa
Angalau ila, bado tu miyeyusho ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃlakini, mdada wa 35 hivi hawezi kudate na me wa 50?
26 tuu yaani hata ungo bado sjavunjaWewe una ngapi mkuu.
ila nna watoto tatu๐kwa nyakati na majira ya sasa...
kibayolojia mwenye 26 anakua kiautomatolikali hana wala hatembei na ungo tena bali anavunja mifupa angali bado meno iko ๐
Slopesio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?๐
Aposto na muujiza wa mishangazi๐๐๐Vijana wadogo ndio kina nani? I mean wana umri upi? Na hao unaowaita watu wazima, mtu mzima ni mwenye umri gani?
Katiba mpyasio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?
Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..
Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?๐
Wewe sema tu humpendi Rais ๐Very logic. Thanks
Wewe tayari unafaa, kidume wa 45 anakuweka ndani vizuri kabisa. Nimesimamia ndoa mbili, moja jamaa yuko 45 dada yuko 28, nyingine jamaa 42 dada 26. Kawaida sana hiyo.26 tuu yaani hata ungo bado sjavunja
Mmmhila nna watoto tatu๐
Mnisaidie majibu ๐Aposto na muujiza wa mishangazi๐๐๐