Vijana wa umri mdogo kujihusisha kimapenzi na watu wazima chanzo ni nini?

sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Tamaa ya pesa tu
 
Ooh sawa mkuu. So 20s vs 40s ni sawa?
actually, ndiyo...

na ndoa na mahusiano mengi ya sasa, angalau yenye uhai Lakini yasiyo na hakika ni miongoni mwa umri huo....

kwasabb mabinti wengi wa 20yrs wako masomoni na hawajaamua kuolewa, na unakuta kijana wa40yrs ndio yuko tayari na anataka ndoa kwa hali na mali na matokeo yake mpaka binti anamaliza shule kama jamaa hajampiga mimba, ana 23 na kijana ana 43 ndipo ndoa inafungwa 🐒
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Slope
Vijana wa kike kwa wa kiume wanapenda mteremko wa maisha

Mungu aingilie kati
 
sio wa kike wala wakiume, wamekomaa mno.
unadhani wamekomazwa na nani, wapi?

Kabinti kanang'ang'ana na lizee jitu zima na kakijana kanang'ang'ana na jimama jitu zima..

Ni nini hasa chanzo cha hali hili isiyo ya kimaadili wala isiyo ya kawaida inayosikitisha sana mapenzini katika jamii?🐒
Katiba mpya
 
Back
Top Bottom