Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Enzi za Masantula Ngoma ya Mpwita, muziki ya kutulia.
Vv
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P uncle JJulius Nyaisanga nae alishafariki. Alifariki akiwa Abood TV ya Morogoro kama miaka minne imepita.
Watu wengi hata hawajui haya maneno yalitokana na nini
- Bitozi
- Check Bob
- Bishoo
- Dingi
Choggy slay aliisha tangulia mbele ya haki na rankim Ramadhani pia.Seydou, say yee, say forever ... kumbe vijana wa zamani (bbc) mko wengi humu JF! Choggy Slay yuko wapi?
Nashukuru kwa taarifaChoggy slay aliisha tangulia mbele ya haki na rankim Ramadhani pia.
Nashukuru kwa taarifa
Pamoja sana ndugu yangu.Nashukuru kwa taarifa
Safari Resort Kimara, and kila Jumatano OSS walikuwa wanapatikana Kinondoni Stereo Bar, nilikuwa sina kiingilio hivyo hukaa nje kusikilizia mambo nje ya UkumbiDaaaah . . . kweli ulikuwa mtu wa viwanja . . . . Hawa walikuwa wanatumbuiza Silent Inn Mwenge au ili ya pale Kimara (Nimesahau jina)
Mkuu Nyaisanga alishafariki piaHaaaaaa haaaaa haaaaa
You really made my day.
Mzee Wakati alishafariki. Nyaisanga nadhani yuko AZAM na akina Tido.
Daaaahhh Long time sana
GangweWatu wengi hata hawajui haya maneno yalitokana na nini
- Bitozi
- Check Bob
- Bishoo
- Dingi
Yaweke hadharani mkuuMi kipindi hiki nilikuwa nakaribia kumaliza A level. Disco nilikuwa naona ni ujinga kudansi miziki ya nchi zingine wakati muziki wetu ulikuwa mzuri zaidi, hivyo nilijikita kwenye magoma ya Sikinde, Msondo, Talakaka, Zembwela, na nyinginezo kipindi nikiwa likizo.
Dah......enzi hizo nikiwa relwe Tabora.......jamaa yangu Filipo akaniacha akahamia RTC Kagera.......kipindi ndio ule wimbo wa Sisily umetoka......acha kabisa......
Bila kumsahau Bruce lee mbabe wa kung fu.waigizaji kama fred williamson, jim kelly,mwana dada pam grier,bo sevenson, amita,hema malin,vinod,ponam walikuwa juu, sinema kama black ceaser, three the hardway,enter the dragon,black samurai,amar akbar antony,dilwale,sholay nk.
Kimara white house kama sikosei bila kusahau masantula ngoma ya mpwita.Daaaah . . . kweli ulikuwa mtu wa viwanja . . . . Hawa walikuwa wanatumbuiza Silent Inn Mwenge au ili ya pale Kimara (Nimesahau jina)
Kwa vijana wa Tanga enzi hizo ni mkonge hotel snack bar kwa dj mansuet au mwambani kwa marehemu dj rujo. Kweli wakati haurudi vijana wa sasa sijui kama wanapata raha kama enzi hizo.Tukirudi nyuma miaka ya 80, ambapo Tz ilingia kwenye madisco ya mchana maarufu kama Boogie, wakali wa wakati huo kama David Joseph na wimbo wake wa You Cant hide walitamba... Nani anaweza kumsahau Colonel Abrams na Trapped yake? Au wale watoto wa kwa mama(UK) na kibao chao cha I.O.U, hapa sitaki kuwataja akina C&C Music Factory wala Technotronic ..(unaweza kugoogle kwa info zaidi)
Midas Touch ya Midnight Star nayo ilitesa sana, then kuna hili kundi la Linear na kibao chao cha Sending All My Love... Kama uliwahi kusikiliza kipindi cha Mtaa wa Mangoma, Radio One (TZ) hapana shaka unaweza kuwakumbuka!
Hivi tunaweza kuwasahau kirahisi kundi la Nu Shooz? Au yule mdada wa Mantronix... Vipi kuhusu Steve V na single yake ya Dirty Cash? Au Shannon na Let the Music Play ambao muziki wao ulifanana na Show Me ya The Cover Girls... Ni kipindi ambacho Walatini walitamba sana kwenye Pop Music.
Pale Ghorofa ya saba, baada kufa kwa Maggoti Living in the Box ilikuwa ndio issue... ilikuwa sio rahisi usiku kupita bila kusikia Peope hold on ya Coldcut...
Then yakaja haya madisco ya beach, kuanzia Msasani hadi Osterbay Vijana wakikodi daladala kwenda kucheza Pump Up The Jam na Criticize ya Alexander O'Neal...
Kabla ya hapo kulikuwa na makundi ya breakdance, kila kitaa kikiwa na kundi lake, kibao kilichowazungua wengi kikienda kwa jina la Rockit kilichotengenezwa na Herbie Hancock.....
Kwa vijana wa Tanga enzi hizo ni mkonge hotel snack bar kwa dj mansuet au mwambani kwa marehemu dj rujo. Kweli wakati haurudi vijana wa sasa sijui kama wanapata raha kama enzi hizo.
Ni Tamt ndio alikuwa member snack bar.Haaaa haaaa umenikumbusha mbali. Kulikuwa na kijana moja mtoto wa Mataka walikuwa na mabasi ya TAMTA alikuwa never miss Mkonge Hotel.