Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu unaosababishwa na Waafrika wenyewe, hili tatizo likipatiwa ufumbuzi maendeleo yatapatikana tu kama sehemu nyingine nyingi za dunia.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu unaosababishwa na Waafrika wenyewe, hili tatizo likipatiwa ufumbuzi maendeleo yatapatikana tu kama sehemu nyingine nyingi za dunia.