Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu unaosababishwa na Waafrika wenyewe, hili tatizo likipatiwa ufumbuzi maendeleo yatapatikana tu kama sehemu nyingine nyingi za dunia.
Huko kulaumu ni mismo inayotengenezwa na wanasiasa ili kujisafisha.Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu unaosababishwa na Waafrika wenyewe, hili tatizo likipatiwa ufumbuzi maendeleo yatapatikana tu kama sehemu nyingine nyingi za dunia.
View attachment 3043019
huyo jamaa kashiba kiswahili kashatoboa anaona wengine wamekosea ila ndio hivo masikini akipata matako ulia ccm ccm ccmHuku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu unaosababishwa na Waafrika wenyewe, hili tatizo likipatiwa ufumbuzi maendeleo yatapatikana tu kama sehemu nyingine nyingi za dunia.
View attachment 3043019
Ukweli upi?Kama kuna kaukwel fulan hivi
Ukishalishwa ujamaa hata akili haifanyi kazi. Wewe ni nchi tangu mwaka 1961 kila kukicha unalaumu mabeberu. More than 60 yrs; una watu, ardhi kila kitu!Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.