Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
@Robert Heriel Mtibeli atakwambia huyu sio mkakamavu gusa unateMcheki mbavu huyu, lakini ni shoga.
Ruggero Freddi - A former Gay Porn Star
View attachment 2570118
Mwalimu mpwayungu village
I'm done Pal'
I'm always love to challenge you in a matter of facts.
Be blessed and the love of God upon you.
Much Appreciation✌️
Adios Amigo.
Watu wanaongea kirahisi humu ndani lakini Kuna matukio mazito na magumu yanayoweza kumfanya mwanaume alie, japokuwa hatojionesha kwa watu Ila kuna namna akikaa mwenyewe lazima ajutie na kulia kwa uchungu uliopitiliza, Enewei najua wengi waliocoment hawajawahi experience mambo mazito na siku likiwatokea huenda wakalia kama watoto maisha yao yote
NB:KWENYE KULIA HAKUNA MWANA-UUME WALA MWANA-UKE
Endeleeni kuishi
Watakuja kukusema wewe ni shoga, subiriWatu wanaongea kirahisi humu ndani lakini Kuna matukio mazito na magumu yanayoweza kumfanya mwanaume alie, japokuwa hatojionesha kwa watu Ila kuna namna akikaa mwenyewe lazima ajutie na kulia kwa uchungu uliopitiliza, Enewei najua wengi waliocoment hawajawahi experience mambo mazito na siku likiwatokea huenda wakalia kama watoto maisha yao yote
NB:KWENYE KULIA HAKUNA MWANA-UUME WALA MWANA-UKE
Endeleeni kuishi
Mwalimu yungu na wenzake sijui kama watakuelewa mkuu Robert Heriel Mtibeli.