Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

Kaka naomba inbox please
 
Kaka njoo in-box nakuomba
 
Mabosi kuweni wawazi kwa waajiri wenu, yeye ananufaika vipi na huo mradi anaousimamia.

Tatizo mnazijali tu hizo pesa zenu bila kujua bila huyo muajiriwa hiyo pesa haiwezi kuongezeka/kujizalisha.

Tatizo nililoliona kwa waajiri wengi, hasa ndugu kwa ndugu.

Ni kua mtu anamuweka ndgu yake kwenye mradi mfano duka, hamwambii malengo yake na hilo duka badala yake anataka kijana ajiongeze mwenyewe.
Sometimes mshahara kiduchu kisa ni ndgu.

Hata kama una malengo ya kumfikisha mbali walau umpe mawazo yako unataka biashara yako iweje au iendeshwaje. Ama lah kila siku awe anadeposit kiasi fulani.

Mnawaachia uhuru wa manyani na pesa ni yako mwisho unakuja kulalamika. Unalalamika nini wakati pesa uliitupa bila ufuatiliaji wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…