Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

Naunga mkono pia hii sio kwa wabongo tu.
Wazungu wanafunga cctv camera, wanatumia software solutions,open office n.k na kukulipa kutokana na muda utakao kaa kazini lengo ni kuongeza uaminifu wabongo wanafanya kazi kijanja janja ila anataka faida kubwa.
Huwez amini kuna watanzania wanakampuni zinaingiza zaidi ya 5 billion kwa mwaka na bado wafanyakaz hata mkataba tu hawana.
Kaka naomba inbox please
 
Tatizo sio vijana uaminifu umepungua kwa watanzania asilimia kubwa sema tu vijana wengi njaa kali na wanaofungua miradi wengi wanataka kutumia vijana bila kuangalia maslahi ya vijana.
Hata wazee walio makazani kama ingekuwa unalipwa kwa poductivity yako nahis wengi hata 50% ya mshahara wasingepata.
Kaka njoo in-box nakuomba
 
Mabosi kuweni wawazi kwa waajiri wenu, yeye ananufaika vipi na huo mradi anaousimamia.

Tatizo mnazijali tu hizo pesa zenu bila kujua bila huyo muajiriwa hiyo pesa haiwezi kuongezeka/kujizalisha.

Tatizo nililoliona kwa waajiri wengi, hasa ndugu kwa ndugu.

Ni kua mtu anamuweka ndgu yake kwenye mradi mfano duka, hamwambii malengo yake na hilo duka badala yake anataka kijana ajiongeze mwenyewe.
Sometimes mshahara kiduchu kisa ni ndgu.

Hata kama una malengo ya kumfikisha mbali walau umpe mawazo yako unataka biashara yako iweje au iendeshwaje. Ama lah kila siku awe anadeposit kiasi fulani.

Mnawaachia uhuru wa manyani na pesa ni yako mwisho unakuja kulalamika. Unalalamika nini wakati pesa uliitupa bila ufuatiliaji wowote.
 
Back
Top Bottom