BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Unataka waishi kama mashetani?Ndio chanzo cha serikali pia kuongeza tozo,wakidhani watanzania wote wanaishi maisha ya kilimbukeni kama wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka waishi kama mashetani?Ndio chanzo cha serikali pia kuongeza tozo,wakidhani watanzania wote wanaishi maisha ya kilimbukeni kama wao
Shikamoo babuKila mtu apambane na hali yake,usiwapangie.
Nyumba kapanga kwa mchaga!Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Basi tu hana mpango wa kujenga ila vitu vya kujirusha mjini! vigari gari na mademNdio inakuwaje mkuu
Ni aina flani ya vijana ambao wanaona maisha wameyapatia,yaani huwaambii kitu hata mkiwa mnaongea utasikia kwanza nakaa sinza utaniambia nini? wakati yupo op kabisa sema tu anaendesha crown na gari za aina hizo na ka iphone kwanzia x mpaka macho matatu baasiKipi ulikiona kwao hadi ukafikiri hivo?
Typically kwa kijana anayezungumiwa kwenye huu uzi anayetumia crown, anaishi sinza, ameajiriwa posta na anaendesha gari kwenda kazini na mitoko ya weekend.... Laki tatu ndogoInategemea na matumizi ya mtu.
Mlete MdhunguKuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Waliofanikiwa anaishije sinza? We utakua na hali mbaya sanaKuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;-
1. Anakaa sinza
2. Anamiliki crown au Mark x
3. Anafanya kazi posta
na hii sio lazima sana anafanya kazi bank.
vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
Kwani ukisema maisha wameyapatia kwa juhudi zao dhambi?Nilivyo na nilivyonavyo ni kwa ajili ya Mungu,
Wapo watu wanaoishi km kwamba wàmependelewa sana na Mungu
Tambua kwamba ni Mungu aliefanya wawe jinsi walivyo sio juhudi, jitihada, maarifa wala bidii zao binafsi na wala sio matokeo ya akili, maamuzi au matakwa yao binafsi
Yupo anaeshinda, anaelinda, anaetunza na anaekuza kwa ajili yako/yao
Ni yeye pekee alie ukamilifu na utoshelevu
Fanya kila kitu kwa ajili ya yeye pekee
Injili ya Luka 12:19-20
Kumbukumbu la Torati 8:12-14
Nawasilisha..
Imefkia stage Ni kielekezo Cha utajiri Africa.mkuu acha basi? nasikia wamejiandaa na pre order ya iphone 14 ili waendelee kutunyoosha
300,000 ÷ 3410 = 87.97 litres x 8 km/l = 703 KM (Posta hadi Sinza) 10KM x 2 = 20KM kwaio 703KM÷20KM = 35.2 Trips kwaio hapo anazo siku 35300k haitoshi kwa wese kwa mwezi